aliyekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

    Tukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada loooh
  2. Zekoddo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
  4. Kyakashombo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  5. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

    Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

    Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa. Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Atiq Ahmed: Aliyekuwa mwanasiasa wa India na kakake wapigwa risasi wakiwa mubashara kwenye Runinga

    Mwanasiasa wa zamani wa India aliyepatikana na hatia ya utekaji nyara ameuawa kwa kupigwa risasi moja kwa moja kwenye TV pamoja na kaka yake. Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa maafisa wa polisi, alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati bunduki ilipotolewa karibu na kichwa...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

    Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila. RIP Eng Joe Malongo.
  12. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Dr. Aliyekuwa Katibu Mkuu Necta asitisha utekelezaji Mtaala Form One 2023

    Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK. Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo. Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini. Badala ya...
  13. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa petrol porini. ========= JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

    Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali. Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli. Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Upelelezi kesi aliyekuwa mkurugenzi TPA wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake umedai kuwa upelelezi umekamilika na wapo kwenye hatua ya kuwasilisha nyaraka katika Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo mitaani, hata aliyekuwa hataki ccm itoke madarakani, anaisagia meno!

    Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
Back
Top Bottom