aliyekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usilolijua ni kwamba Aron Kagurumujuli amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni

    Kwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtanzania Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zambia

    Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar. Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu Inalillahi waina ilaihi rajiuna --- Nimepokea kwa masikitiko...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  7. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  8. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

    Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao. Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao? Eti ni Hukumu Kali...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania Jino la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo, Patrice Lumumba lapokelewa na kupewa mazishi ya heshma

    Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakili ajitoa kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Jiji la Arusha

    Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa. Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni yupi aliyekuwa wakala wa kifo & ulemavu kabla ya kuja kwa bodaboda?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  15. Pjmwakyusa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Wiki moja baada ya kuvuliwa madaraka, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Konde ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Edward Mwaikali na baadhi ya wachungaji na waumini wamejitenga na kanisa hilo. Uamuzi huo ulitangazwa Juni 12, 2022, katika Kanisa Kuu la Ruanda Jijini Mbeya na Dkt...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi yule Sabaya tuliyeambiwa majuzi kuwa anaumwa sana anatakiwa kufanyiwa Oparesheni ndiyo wa jana aliyekuwa na Furaha vile?

    Endeleeni tu kutufanya Mangumbaru ( Wajinga ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) kwa kila mara kutufanyia Maigizo yenu wakati tunajua kuwa mnataka kumuachia ila kwakuwa mmeshajua kuwa ana Hoja nzito, mlimuonea hivyo sasa mnatafuta Mazingira ya Kumuachia ili yaishe na msionekane kama mlikuwa mnamkomoa tu...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali. Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Matamshi ya Malala Akidharau Polisi Yamshtua Afisa Aliyekuwa Akimlinda Musalia Mudavadi

    Seneta Cleophas Malala alidunisha kazi ya polisi mbele ya maafisa waliokuwa wakilinda kampeni zake Afisa mmoja aliyekuwa akilinda gari lililokuwa limewabeba Mudavadi na Wetangula alishindwa kuficha hisia zake akionyesha kusikitishwa kwake na matamshi ya Malala Afisa huyo alilazimika...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hujafa hujaumbika

    Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake. Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana. Huu usemi wa hujafa...
Back
Top Bottom