alama

  1. JamiiForums Tanzania Matamshi ya alama

    Katika matumizi ya simu tunakuta alama: * inatamkwa nyota. # inatamkwa alama ya reli. Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Kocha Nabi umeacha alama ya mafanikio tunakutakia kila lenye heri uko uendako

    Ni kawaida kwa kocha yeyote kulinda heshima yake baada ya mafanikio makubwa kwenye carrier ya kazi yake. Kocha Nabi amelifanya hilo jambo kwa uweledi mkubwa sana akiwa na klabu ya yanga, kapata mafanikio kuliko kocha yeyote yule kwenye mpira wa Tanzania, kavaa medali ya caf confederetion cup...
  4. JamiiForums Tanzania Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo: Tushirikiane tulete maendeleo, tuache alama ya kudumu Korogwe

    DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika...
  10. JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa Barabara ya Mbezi mwisho ni moja ya alama kuu za TANROADS

    Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho. Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
  11. JamiiForums Tanzania TCRA yafungia Laini za Simu 900,000 zisizo na Usajili wa Alama za Vidole

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  13. JamiiForums Tanzania TANROADS warudishe alama za barabarani

    Ukisafiri umbali mrefu kwenye Highways huku ukiwa makini utagundua kuwa, kuna alama nyingi tu hasa za speed limit hazipo barabarani; Nafikiri zimeondoka kwa sababu mbalimbali. Mfano: Unakuta vibao vya Speed limit upande mmoja kipo, ila upande mwingine hakipo (ila kupigwa tochi kupo palepale)...
  14. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  15. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  16. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2009 nilichorwa kwa wembe alama hii kwenye dole gumba la mkono wa kulia, maana yake nini?

    Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kuharibu alama za mipaka (beacons)

    Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu Na.11 na Na.12 vinatoa adhabu ya Faini au kifungo au Vyote kwa pamoja na kugharamia alama...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

    Ndugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…