Maulid Kitenge amepotosha. Dumila kuna tuta na alama ya barabarani

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
305
519
Maulid Kitenge nilimsikia akitoa malalamiko aliyo dai ni ya wananchi na kuyaelekeza kwenye mamlaka ya barabara nchini-Tanroads, kuhusiana na maeneo ya Dumila kwambakuna tuta halina alama ya barabarani na kudai kwamba inahatarisha maisha ya watu wanaotumia usafiri wa moto wanaopita eneo hilo.

Nashauri angetumia muda huo kuelimisha wananchi Wasiibe alama za barabarani. Watu wanang'oa vyuma wanaenda kuuza chuma chakavu. Hata hivyo kwa Dumila hakuna aliyeiba, alama ipo.
IMG-20230921-WA0007.jpg

Sasa mimi jana nimepita nikatafuta hilo tuta lisilo na alama silioni. Moja kwa moja nikajua kwamba Kitenge kadanga au kafanya makusudi edha kwa kujua au kwa kutokujua.

Alama Dumila zipo na nimebahatika kupiga picha. Tujitahidi kufanya utafiti kabla ya kusambaza taarifa za uongo.
Dumila 2.jpg
Dumila 1.jpg

Amepotosha, sehemu ambayo inawwza kuwa inalalamikiwa ni Kongwa kama sikosei.
Ukitokea Morogoro ukifika pale centre kuna tuta siyo la kupunguza mwendo pale linaigawa barabara, kwa jinsi lilivyowekwa pale ni rahisi kusababisha ajali usiku, hasa mtu akiwa na ugeni wa barabara.
 
Basi aseme. Ndo maana nikasema kwa hapo kapotosha. Tatizo lake anakurupuka.

Dumila ipo Morogoro. Kongwa ipo Dodoma. Atakuwa kachaganya Madesa. Mimi Dumila nimefungua ubalozi, hata kama njaa haiumi, nasimama kula japo hindi Moja🤣
 
Mimi sijawahi kumuamini kabisa huyo jamaa, Wala kumzingatia Ni journalist wa Ovyo sana kuwahi kuwepo kwenye industry
 
Maulid Kitenge nilimsikia akitoa malalamiko aliyo dai ni ya wananchi na kuyaelekeza kwenye mamlaka ya barabara nchini-Tanroads, kuhusiana na maeneo ya Dumila kwambakuna tuta halina alama ya barabarani na kudai kwamba inahatarisha maisha ya watu wanaotumia usafiri wa moto wanaopita eneo hilo.
View attachment 2756907
Nashauri angetumia muda huo kuelimisha wananchi Wasiibe alama za barabarani. Watu wanang'oa vyuma wanaenda kuuza chuma chakavu. Hata hivyo kwa Dumila hakuna aliyeiba, alama ipo.

Sasa mimi jana nimepita nikatafuta hilo tuta lisilo na alama silioni. Moja kwa moja nikajua kwamba Kitenge kadanga au kafanya makusudi edha kwa kujua au kwa kutokujua.

Alama Dumila zipo na nimebahatika kupiga picha. Tujitahidi kufanya utafiti kabla ya kusambaza taarifa za uongo.
View attachment 2756904View attachment 2756905
View attachment 2756914
View attachment 2756915

Huyu Kitengw wa DP? Ulitegemea nn
 
Na wewe ulimuamini Kitenge surely?
Kitenge muongo.

Tatizo leseni za kufoji mjinga huyo

Barabara zote kwanza unakutana na kibao nyuma mbali tu.kinakuonyesha kuna tuta.mbele au kuna sehemu wanavuka watu yaani zebra Crossing au wanyama
Kuwa punguza mwendo .Baada ya hapo utakutana na kibao kingine kinaonyesha uende kilomita ngapi kwa saa ndipo unakuta zebra crossing au tuta sio.lazima liwepo tuta mjinga huyo

Traffic wakague leseni yake upya

Mweupe kichwani hajui sheria za barabarani
 
if UKURUPUKAJI was a person.............................................
Thats Maulid Mbaraka wa Kitenge
 
Back
Top Bottom