Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia?
Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli.
LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote.
Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki.
Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana.
Nini kifanyie kukemea hii...
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa waandaaji. Wanasema mbio zilichelewa kuanza na huduma barabarani zilikuwa za kishenzi sana. Maji...
AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions.
Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex.
1. Kuna...
A viral post has been circulating on social media, especially on Facebook, claiming that astronauts have successfully grown rice on the Moon. However, an investigation using keyword searches determined that the image was generated using artificial intelligence (AI) and is therefore not genuine...
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani.
Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha.
Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia...
Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge?
Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai
http://youtube.com/post/UgkxKXRdpb9rD77K9YDpnJgyr396ku4SGY6v?si=q7d819sR07Fp1FmL
Iran kamatilia hapo hapa USA hatarudi tena kucheza na wewe
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa katika kukuza mtangamano na kuharakisha maendeleo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupitia sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, Elimu, Viwanda, Afya na...
Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja wenye picha hii. 👇
Picha yenyewe inaonekana ya ajabu kidogo… kama kitu kilichochorwa kwa namna...
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia
Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri...
Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu.
Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.