Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
MOMBA: "ANAYEPINGA MADAI YA SHIDA YA MAJI MOMBA AKAPIMWE AKILI"?
BAANDA ya February 2. 2024 Mbunge wa Jimbo la Momba kwenda na ushahidi wa video ikionyesha Wananchi wa Kijiji cha Lwatwe kata ya Ivuna wakifukua Maji chini ya ardhi, baadhi ya watu wameandika mitandaoni kwa kichwa kinachosema "...
Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa
Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius
Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake...
Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa.
Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua...
Anaandika BICHWA KOMWE:-
Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.
Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema.
Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa...
366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k
nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya...
Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu
1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini...
#AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu.
Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla!
Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
Ni kuchanganyikiwaaa au vipi
Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye
Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini,
Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
Nawasalimu Kwa jina la JMT
Mwaka 2014, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alisema kuwa kuna watu wawili duniani: wapumbavu na wajinga. Wapumbavu ni wale wanaoshupaa na kutumia ubabe, huku wajinga ni wale wanaokubali ubabe huo.
Kauli hiyo iliibua...
Nairobi, Kenya.
Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi. Mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti...
Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao
Chanzo: Magazetini Leo
Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia..
Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka...
Kwenye ulimwengu wa Sinema kumekuwa na ubishi kwamba Michael Scofield ni akili kubwa kuliko Raymond Reddington and Vice Versa.
Naomba tuumalize ubishi hapa, je ni nani kati ya hawa wawili ni akili kubwa kumzidi mwenzake?
NB: TUNASHINDANISHA CHARACTERS NA SIO MAISHA BINAFSI YA HAO WAIGIZAJI
Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia.
Miongoni mwa nukuu zake nizipendazo ni hizi mbili. Moja, Tzu anasema ikiwa unamjua adui na unajijua mwenyewe...
Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua.
Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.
Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.
Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.