DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,991
- 45,494
Ukikaa kwa umakini ukaanza kuzitafakari hizi dini zote zilizopo hapa Duniani lengo kuu ni MOJA tu kutafuta nguvu ya Mungu au miungu.
Sasa ukishalijua hili Jambo unapataje MUDA wa kubishana kuwa dini fulani ni bora na nyinginge sio Bora????
Kukua kiroho sio lazima uwe katika dini yoyote ni swala la kufata kanuni kama kujisikiliza Kuanzia ndani yako na kubalance nishati.
Kila imani ni Bora Hakuna imani Bora kuzidi nyinginge hivyo tujitahidi kuelewa haya mambo ili kuondoa migogoro ambayo haina ulazima.
Dini au imani ni Kama Kazi, watu tunafanya Kazi mbalimbali kwa lengo la kujipatia kipato na MAFANIKIO hivyo hivyo na katika imani watu hufata imani yoyote kwa lengo la kutafuta nguvu za kiroho, Mungu au miungu.