Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
21,617
Reaction score
44,506
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
 
Pitia hapa umeupiga mwingi
 
Attachments

  • FB_IMG_1741278182799.jpg
    FB_IMG_1741278182799.jpg
    40.9 KB · Views: 11
Common sense ni kipaji ambacho walokole wengi walishaamua kukiweka pembeni.
Kweli kabisa mkuu. Kuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.

Hivyo, kuzini si kosa, kosa ni kushindwa kumhudumia mtoto aliyetokana na matokea ya kuzini kwako.

Walokole tubadilike bhana!
 
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
Kaka ndege Mimi sina neno nipo hapa nasikiliza... Wachokonozii wanasema uislamu na kurani ni manuscript ya Mohamed maana alikua na ukwasi wa maana hivyo akawa na taasisi yake ndio uislamu ukaenea ki hivyoo kwa waarabu na waajemii
 
Back
Top Bottom