ajira

  1. JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote au Kibarua

    Habari zenu Wakubwa; Naamini hamjambo. Mimi pia. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 24. Natafuta kazi ama shughuli yoyote halali inayoweza kuniingizia kiasi chochote cha pesa. Kwa wakati hui sina maamuzi ya kuchagua wala utashi wa kuweka masharti juu ya aina au kiwango cha ugumu wa kazi. Pia...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

    Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ajira za Assistant Lecturers KCMUCo

    Habari za asubuhi wana jamvi. Wiki kadhaa zilizopita chuo kikuu KCMC walitangaza nafasi za tutorial assistants na assistant lecturers wa kada mbalimbali. Mimi binafsi nilituma maombi ya nafasi mbili yaani assistant lecturer in epidemiology na assistant lecturer in public health ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira sio utumwa ukiwa katika kazi ya ndoto yako unayoipenda

    Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya. Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi. Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania CCM acheni utani na watanzania: Kweli kuzibua mitaro na kufyeka barabara mnazihesabu kama ajira za kuongeza?

  7. JamiiForums Tanzania Ajira Mwalim Mkuu na Walimu wengine shule ya Waislam

    Tangazo la ajira ya Mwalimu Mkuu. Abrar Primary School is a proposed name for anew Muslim School proposed to built at Vitendo Street, Misugusugu, Kibaha. Pwani, Tanzania. The proposed Abrar Primary School is an upgrade and enhancement of the now existing Madrasatul Abrar. We are seeking a...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

    Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana. Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo. Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza. TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko utakapofika kwenye ngazi ya degree?
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira hospitalini au afya

    Just nimemaliza degree ya udaktari, natafuta hospitali au kituo cha kujishikiza kwa muda before internship or any health related work for now. Dar es salaam Thanks
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

    Tulimsikia alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni, huko Bariadi akimuahidi Mzee Andrew Chenge, ambaye alishinda kura za maoni jimboni kwake, kuwa atampa nafasi "nzuri" ya uteuzi, miongoni ya nafasi zake nyingi za uteuzi, kwa sharti tu la kumuunga mkono mgombea "wao" wa vikao vya juu vya Central...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa sio matapeli wa ajira kweli? wao wanauza form ya maombi ya kazi Tsh 2500, Mirogena & Company Limited

    Habari wadau hawa jamaa wametangaza nasafa sa kazi lakin nashangaa wanakwambia jaza form alafu ulipie tsh 2500 ya form? Ukishaingia kwenye tovuti yao ndo unakutana na hizo habari za ada ya form kweli inaingia akilini hii kitu wanajiita...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira au Partnership

    Tupo katika initial stages za kuanzisha kampuni mpya itayojulikana kwa jina la Abrar Bricks Ltd. Location ni Mkoa wa Pwani, Misugusugu, Kibaha. Tanzania. Tupo katika kutafuta ama ataependa kuajiriwa au kuwa partner mwanzilishikwenye kampuni kampuni ambayo ipi mbioni kuanzishwa. Tunahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusiana na Logistics and Transport

    Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C). Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  20. JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…