ajira

  1. PROJECT OFFICER (1 position )

    Magu Poverty Focus on Older People Rehabilitation Centre (MAPERECE) in collaboration with Amref Health Africa Tanzania is implementing Empowering Women with Obstetric Fistula Project in Mwanza Region. The project aims to deliver a fistula treatment, psychosocial support, and livelihoods...
  2. K

    Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

    Natafuta mtaalamu wa kuoka mikate ya aina mbalimbali, keki, biskuti , donut, maandazi. Awe na cheti kutoka Veta/ chuo cha utalii ama taasisi nyingine zinazotambulika. Mahala pa kazi ni Dar es Salaam, Kijitonyama. Awe tayari kufanya kazi kwa shifti- mchana ama usiku, na pia awe mbunifu...
  3. Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Wakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje.
  4. A

    Nahitaji kujua basics questions za interview ya udereva

    Ndugu yangu anahitaji msaada kwa mwenye uelewa juu ya maswali ya interview kuhusu udereva serekalini.ameitwa kesho interview ya tanesco northern zone. Msaada jamani kwa mwenye uwelewa
  5. HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA - CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za usafiri ▪Fedha Za Kujikimu ▪Gharama Za Mafunzo ▪Gharama Za Matibabu ▪Utalipiwa Ada ▪Fedha Ya...
  6. L

    Nafasi Ya Kazi Program Coordinator (IT Officer)

    Non Government Organization is searching for Program Coordinators, To apply read the attachment below and follow instructions
  7. P

    utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua

    Habari zenu wakuu wa humu jf naombeni msaada kwa anayefahamu juu ya utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua anipe ABC juu ya mchakato mzima kam vifaa .a mahitaj mengne na pia juu ya upatikanaji wa soko kama unafahamu lolote tupia comment apa wakuu swala la ajira limekuwa changamoto hivo nipo...
  8. Baadhi ya Matangazo ya Kazi

    Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi. Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview. Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing. Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa...
  9. Nafasi ya kazi ya kuwa wakala

    Karibuni sana
  10. Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    *Muhimu* 1. Hakikisha upo katika internet nzuri. 2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb. 3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual. 4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019. Kila la kheri DICT TAMISEMI. 04.03.2019 BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO...
  11. S

    One Health Specialized Poly Clinic: Vacancies announcement

    One Health Specialized Poly Clinic is a specialized clinic with multi specialties that focuses on diagnosing and treating conditions of all ages while emphasizing preventative medicine and the overall health and wellness of all patients. The clinic is utilizing new equipment and a trained...
  12. Fursa kwa vijana

    Habar za Jumatatu Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma. Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo Sifa Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi Vigezo Barua ya uthibitisho kutoka...
  13. A

    Job opportunity!!!

    Vacancy announcement!!! Translators/transcribers needed in Moshi. kindly view the attachment for the job description. Asante sana. Vacancy announcement Position: Transcriber – Translators Looking for efficient, reliable, and conscientious transcriber-translators for very long Kiswahili and...
  14. D

    Nafasi za kazi

    Jobs facilitators ni Organization inayowaunganisha waajiriwa kwa waajiri. Kwa yeyeto mwenye hitaji la kazi yoyote tafadhali tutumie ujumbe kupitia Email Address hapo chini... Jobsfacilitators@gmail.com Na kwa muajiri anaehitaji muajiriwa pia anaweza kuwasiliana na sisi.kupitia Email Address...
  15. D

    NAFASI YA KAZI DAR.

    Habari... Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi. Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata. Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia...
  16. D

    Madereva wa Uber, Taxify na Rova Dar es Salaam

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
  17. D

    TAXIFY DODOMA

    Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma. Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi. Gari...
  18. Kujiajiri kupitia watu wanaotafuta ajira

    UKIPITIA POST HIZI UTAWEZA KUTAMBUA NAMNA WATU WANAVYOWEZA KUBUNI MBINU ZA UJASIRIAMALI KILA KUKICHA Jamani hii tabia mpya, post ya Inosent Watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…