MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 33
- 53
Wadau ninamiaka karibu Sita mtaani bila ajira Rashmi japo nimejitahidi Sana kufanya shughuli zangu zingine za Computer maintenance niliojifunza mtaani japo bado kipato hakijitoshelezi.
Kilio changu ni hiki Cheti cha Degree sijui nikifanyie nini? Maana nimetumia nguvu kubwa Sana kupata alaf mwisho wasiku hakina kazi tena kujiajiri kupitia taaluma yangu ingekuwa ngumu sana.
Je, ni fani gani mbadala inayoweza kuwa mkombozi Kwa gharama nafuu na Muda mfupi?