ajira

  1. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Kwema humu? Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
  2. JamiiForums Tanzania Easy Skills Kuanzia Kama Freelancer (Fursa Kwa Wote)

    What's Up, Guys! :) Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira. So, nimeona nifanye...
  3. JamiiForums Tanzania Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

    Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
  4. JamiiForums Tanzania Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je mbinu gani zitumike kutengeneza ajira kwa vijana wetu

    Ni jambo lililo wazi kuwa jamii yetu inakabiliwa na tatizo kubwa sana la ajira. Takwimu zisizo rasmi zinasema kila vijana 2 kati ya 3 wanaohitimu elimu za juu wanakosa ajira katika mambo wanayoyasomea na kurudi mtaani kufanya shughuli zinazofanywa na watu wasiosoma. bila kujiingiza kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Sintofahamu ya hatima ya Mfumo wa Elimu wa Taifa na Utashi Wa serikali

    Serikali Imewekeza sana kwenye miundombinu ya sekta ya elimu kwa miaka sasa, uwekezaji huo unaanzia Elimu ya msingi, sekondari za kata, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu na kumekuwa na ongekezo kubwa la idadi ya wanafunzi unaojiunga mashuleni na vyuoni. Lakini elimu wanayoipata haiakisi uhalisia wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kabla kijana hujalalamika ajira, Je unaaaminika?

    Hii video ni jamaa wa Kenya,anayolalamika ni mambo yanayotokea Tz kwa kiwango kikubwa sana. Mtakubaliana na mimi kuwa Kundi kubwa la vijana hawaaminiki na kuwapa kazi katika shughuli zetu za ajira binafsi, ujitoe akili. Nazungumzia ajira ndogo ndogo kama Salon, Mpesa, Duka, shamba, gari...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  9. JamiiForums Tanzania Ajira: Ubalozi wa UK, Receptionist. Mshahara Tsh 1.5M+ kwa Mwezi

    Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji wa ajira imekuwa ngumu

    Walimu watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) mwaka 2018 nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za awali [chekechea]. Hii ni Kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo. Walimu hao ni Dk. John Timon Owenga, Dk. Violet Otieno na Dk. Daughty Akinyi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi nne (4) za ajira kwa Wauzaji wa Bidhaa na Electronics/Computers

    Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics. 1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne. 3. Mahali ni Dar es Salaam. 4. Uzoefu kuanzia miezi 6. 5. Mshahara ni mzuri. 6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili. 7...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira: Communication Officer, Starting Salary 2.55M kwa Mwezi

    Haya wale waliosoma Mass communication na kada mlingano. Jaribu bahati yako hapa, Ubalozi wa Uingereza. Nchini Tanzania Communications Officer B3 (03/21 DAR) - FCO Local Posts...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira na biashara makaburini

    Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu 10,000

    Tanzania Kwenu!!!!!! Nimepanda hili swala la serikali kuajiri walimu 10,000 kabla ya December 2021 Kilichonifurahisha ni kuchukuliwa kwa 20% ya walimu wote kutoka katika maeneo waliyopo (wanakojitolea) Hii inasaidia sana kupata walimu wanaojua mazingira lakini itasaidia walimu walioko...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu. Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kiswahili Afrika na jinsi ya kukifanza kukua kiurahisi na kiulaini hali tunaongeza ajira kwa Vijana

    TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua. KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla watu wanazungumzia juu ya fursa za ajira na 'baibai kwa umasikini' kwa vijana. Ila hakuna...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili Mtatoa lini Ajira kwa vijana Askari Wahifadhi?

    Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa tangu tuhitimu na ukizingatia kuna takribani hifadhi mpya NNE zilianzishwa na bado hazina watumishi...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira za Mashambani Finland ( Scandinavia countries)

    Buheri Wadau, Madayaspora mlio ng'ambo hasa nchi za Scandinavia au mnaofahamu na kujihusisha na kuonganisha wafanyakazi nje kwa mikataba mifupi, Naomba kuonganishwa na agency wanaofanya recruitment ya wafanyakazi Mashambani ( kuvuna na kupanda strawberries, cabbage n.k). Ninashukuru kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…