ajira

  1. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

    Tujifunze kusoma fani zinazotuachia ujuzi ili tuweze kujiajiri na pia kutengeneza ajira kwa wengine. Mfano mdogo tu, jaribu kutangaza nafasi ya fundi wa kushona mavazi; inaweza kuchukua wiki, miezi hakuna mtu aliyeomba. Hii inatafsiri, wenye hiyo fani wako bize na mambo yao na hawaitaji...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nitumie mbinu hii kupata ajira

    Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar. Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...
  3. JamiiForums Tanzania Nini suluhisho kwa vijana wetu walio mitaani wasiokuwa na Ajira?

    Wazazi na vijana wamepoteza kabisa matumaini ya maisha, wanaishi kwa misongo ya mawazo kila siku. Kila siku afadhali ya jana na serikali imetamka kuwa haiwezi ajiri vijana wote wanaotoka vyuoni bali wajiajiri. Lakin haiwawezeshi njia za vijana hao kujiajiri, Bali ni matamko tu. Kwa wenzetu...
  4. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Ajira kwa watoto, Serikali kupitia ustawi wa jamii imejisahau?

    Achia mbali ongezeko la watoto wa mtaani katika miji yote mikubwa., Tatizo lingine linaloonekana kwa sasa ni wingi wa ajira kwa watoto wenye umri kati ya miaka 9-13. Tena katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo. Kwa maeneo ya mjini watoto wenye umri tajwa hapo juu siku hizi ndo hutumika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  6. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania

    Serikali imeipongeza Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kwa kuunga mkono juhudi za Tanzania kujenga Tanzania ya viwanda kwa kujenga viwanda, kutoa ajira, na kuleta teknolojia kwa Watanzania, ambapo kabla ya ujenzi wa kiwanda cha vilainishi, Tanzania ilikuwa ina aagiza lubricants kwasababu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira

    Habar wapendwa me natafuta Ajira naelimu ya maendeLeo ya jamii ngazi ya diploma nipo arusha umri 23 nawasiliana 0765482195
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

    Mwezi october mwaka huu wa 2021 zilitangazwa nafasi kadhaa za ajira shirika la umeme Tanzania-TANESCO. Juzi hapa waliita watu kadhaa kwa baadhi ya kada. Sasa basi nikamuuliza jamaa yangu ambae kwa nafasi yake pale Tanesco sina shaka nae kabisa. Jmaa akaniambia mchakato umesitishwa kwa baadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security. Kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni kubwa zinazotoa mshahala angalau kidogo kuna kaunafuu, maana NSSF inazingatiwa na mafao mengineo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Saruji Tanga kuzalisha ajira zaidi

    Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani...
  12. JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  15. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

    Ndugu wana JF, Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi. Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la? Hebu tazama 1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania...
  17. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  18. JamiiForums Tanzania Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine. Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…