ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
  2. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira portal umekumbwa na nini?

    Wakuu vipi huko kwenu mnaweza kupata access ya ajira portal? Huku kwangu mambo yapo hivi
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaaada kuhusu Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science

    Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science. Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya wahitimu wa vyuo kukataliwa kuomba ajira katika mfumo wa ajira portal

    Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal. Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka secretariat ya ajira na utumishi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watoa Huduma Ajira Portal hawapokei simu, tunashindwa kufanya mabadiliko kwenye portal

    Habari, Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi. Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tangazo la ajira likawa nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka?

    Je, kuna uwezekano kwamba tangazo la ajjra limetangaza nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka? Naomba kujua.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Job qualification failed: I suggest the secretariat widen the window for applicants to be able to apply for most posts

    Most of job academic requirements in ajira portal exclude applicants. I suggest that the secretariat widen the window for applicants to be able to apply for most posts. For instance someone has a bachelor of arts with education (English language & Geography) or (English language & History) or...
  11. o_2

    JamiiForums Tanzania Kumekucha usaili wa ualimu

    HabariLeo? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini? Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

    Nawashukuru kwa mrejesho wenu chanya.Hata walio challenge hasi nawachukulia Chanya
  13. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

    Habari wakuu! Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi...
  14. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Walimu jiandaeni vyema na Aptitude Test

    WALIMU SOMENI HAPA Difference Between an Aptitude Test and a Memory-Based Test Aptitude tests and memory-based tests are used for employment assessments, but they evaluate different abilities. Here’s an explanation of both, using examples related to the education sector , such as tasks for...
  15. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Hakunakiri Namba ya mtihani na Ajira portal iko under maintenance afanyaje?

    Wakuu, kuna aliyepitia changamoto kama hii ya ku Log in kwenye mfumo jana au leo akakuta Under maintenance? MREJESHO: Wakuu naona mfumo umefunguka tayari mambo yako vizuri
  16. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

    Nimeshangaa sana ila ebu nitulie msije ninyima kazi zenu bure
  17. o_2

    JamiiForums Tanzania Tulioomba ajira za ualimu kupitia Ajira Portal, angalieni status zenu

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena na kurudi MDAs na LGAs. Hii inaashiria kitu gani? Tuendelee kuvuta subira.
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Solved: kama umejaza kila kitu Ajira portal lakini ukiomba application kwambia “Fail”, suluhisho liko hapa.

    So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo. Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho . Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”. Swali, system...
  19. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    Habar Wana JamiiForums nimejaribu kuingia ajira portal ili nianze kujisajiri upya ila nakumbuka zaman Sana nilishawahi kuingia hivo sikumbuki email Wala password niliyotumia kipindi hicho imeniambia nambari ya NIDA ilishatumika hapa nitafanyaje wakuu ili kujinasua katika huu mtihani. Soma Pia...
  20. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuweka CV Ajira Portal

    Habar wana JF, Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Back
Top Bottom