ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Ajira portal, hii maana yake nini?

    Hii maana yake ni nini Nimeshangaa Kama ni masters ninayo
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

    Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma. Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category" Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha. Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  4. Mwambatz1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu. Mfano : system akisema imwombaji awe...
  6. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, hizi status za Ajira Portal zipoje?

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website SELECTED tu no Ina kijani mengine ni meusi. Naomba kujua nini kinajiri
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Ajira portal ni tatizo

    Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi? Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ajira Portal

    Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita. Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
  10. Matango

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal: Verification Certificate Shidaa

    Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
  11. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Natamani kuwa Tutorial assistant Nina GPA YA 4.1 lakini ajira portal inanikataa msaada

    Habari wadau Naamini hili jukwaa ni kubwa saana Na Lina wataaluma au wahusika wa ajira portal. Nina Ndugu yangu anaomba msaada hii ajira portal inamzingua kwanza kabisa amejaza tarifa zake zote na Ana 97% Ila Ina mgomea Taarifa binafsi yeye amemaliza chuo KIKUU na Ana GPA Ya 4.1 program yake...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: ajira portal

    Naomba kuelekezwa namna ya kutiki/ kuweka mshale wa declaration.
  13. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal, Help Desk ni kero tupu!

    Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi. Kwanini msiajiri watu special kwa ajili ya kazi hiyo tu! Kama wanavyofanya mitandao ya simu!! Nyinyi ndo mnaoajiri...
  14. Frank Hood

    JamiiForums Tanzania Hamna namna mbadala ya kuomba ajira Seriaklini bila kupitia ajira portal?

    Naomba nijue, naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za Serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz). Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya internet wanafanya vipi kupata hzo ajira? Maana hawatoi alternative way ya kutuma maombi zaidi ya kupitia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  16. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi

    Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi. Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  19. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi. Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo. Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
Back
Top Bottom