Ajira portal ni tatizo

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
636
1,292
Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi?

Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati wa kutafuta ajira unaingia kwenye mfumo kwanza picha linaanza hakuna option ya kudelete academic qualifications, mfumo gani usiokuwa na hii option?

Huu mfumo mliwapa vijana wa field wautengeneze au? mbaya zaidi mmeshalalamikiwa kwa muda mrefu lakini hakuna changes, kubadili tu inachukua muda gani? how comes mtu hawezi kufuta taarifa zake za elimu? na mmekaa tu huko ofisini na vitambi vyenu huku wasaka ajira wakihangaika?, Picha la pili, Ukiupdate taarifa za work experience (kwanza wameandika 'working experience' badala ya 'work experience' :D) hazibadiliki kwenye cv preview!,

Picha la tatu, Kama uliupdate vyeti ambavyo havikuwa certified then ukahitaji kuondoa na kuweka ambavyo vipo certified, Ukiedit then ukisave, hakuna mabadiliko! angalau vyeti vya O Level na A Level ukikomaa vinabadilika ila kwa University (cheti cha juu) inagoma.

Taarifa zote mnazona watu wamewasilisha na mmesikia lakini hakuna mabadiliko, Mnafanya kazi gani huko kama issues ndogo kama hizi zinawashinda? Kwa hiyo mmekaa chini mkaona huu ndiyo mfumo rasmi na centralized kwa maelfu ya wahitimu wanaotegemea kupata ajira serikalini? Hopeless!

Anyways, Kama kuna mtu anafahamu solutions kwa hizo issues msaada tafadhali, au nitupie zangu tu application yangu ya CONSERVATION RANGER III – ARTISAN (MOTOR VEHICAL MECHANICS) hivyohivyo Liwalo na liwe :D:D:D
 
Kati ya, wafanyakazi, 10,wa, serikali, sita ni vilaza, walifika secondary kwa kuibia mitiani, chuo walimaliza ama, kwa kuonga pesa, kununua mitiani, au kutoa raha, kazi vile vile, walibebwa, rushwa, ya no no, nk.
 
Acha hasira za kipumbavuu wewe jamaa,unaijua mifumo mingapii ya recruitment portal ambayo ni mizurii kuliko ajira portal,mfumo upo vizurii japo una errors kdg but upo vizurii kwa asilimia 98 anyway mkuu kwenye academic qualification hawakuweka option ya kudelete but unawezaa kuedit course,mfano kama uliweka una degree huwezii kuifutaa mpaka uwasiliane nao but course unabadilishaa pia kwenye suala la kuedit chetii unakuta tayari kule kwao kimeishabadilika ila kwako unakuta bado ukitaka kujua hivyo kuwa kimebadilika tumia simu nyingnee au kwenye kompyuta halafu utaona cheti chako kimebadilika hii ilishawahi kunitokea Mimi,
 
Kati ya, wafanyakazi, 10,wa, serikali, sita ni vilaza, walifika secondary kwa kuibia mitiani, chuo walimaliza ama, kwa kuonga pesa, kununua mitiani, au kutoa raha, kazi vile vile, walibebwa, rushwa, ya no no, nk.
Acha wivuu wewe,utafitii wako huo umeufanyiaa wapiii?? Mtu anawezajee kuibiaa kuanzia la kwanza hadii chuo kikuu
 
Hebu na ww acha ubishi mkuu huo ndo ukweli kwani hujaoma kijana mdogo alivyomtoa jasho professor wa sheria na dogo ni degree holder. Ukiambiwa kitu usibishe wafanyakazi wengi wa serikali wenye nyadhifa kubwa kubwa wana midomo tu lakin ukija kwenye suala la kutoa mawazo au fikra za maana hakuna kitu hawapo vizuri kichwani. Binafsi niketumia mifumo mingi ya serikali mpk najiuliza hivi hawa IT waliyotengeneza huu mfumo hivi ni smart kweli au inakuwaje.

Baada ya kufanya utafiti wangu kidogo nikagundua IT wengi wa serikalin hawafikirii wao wanajua tu ukishajua programing languages basi umeua.

Yaani hawafikirii kabisa. Sasa unawezaje kutengeneza mfumo wa kufeed taarifa bila option ya kuedit mkuu au ww unaongea tu.

Naungana na jamaa alosema ajira portal iko hovyo sana. Alafu kuna haja gani ya kucertisfy cheti wakati umescan orijinol. Mbona Tamisemi hawana huo upuuzi. Wakati huo huo ukiajiriwa cheti hicho hicho lazima kikahakikiwe na aliyekitoa km kweli ni orijino. Tukisema waliyojazana maofisini mle ni vilaza mnakataa.
 
Siwezii kubishanaa na wewe aliyekuambia yule ni professor wa Sheria ni nanii??? Yule ni mtaalamu wa miamba mkuu na Wala hajasoma sheriaa halafuu Ile haimaanishii kwamba hajuii inategemea unatetea kitu ganii??,,hivii unajuaa kwa nini kwenye academic qualification hawajawekaa option ya kuedit??
 
Hebu na ww acha ubishi mkuu huo ndo ukweli kwani hujaoma kijana mdogo alivyomtoa jasho professor wa sheria na dogo ni degree holder. Ukiambiwa kitu usibishe wafanyakazi wengi wa serikali wenye nyadhifa kubwa kubwa wana midomo tu lakin ukija kwenye suala la kutoa mawazo au fikra za maana hakuna kitu hawapo vizuri kichwani. Binafsi niketumia mifumo mingi ya serikali mpk najiuliza hivi hawa IT waliyotengeneza huu mfumo hivi ni smart kweli au inakuwaje.

Baada ya kufanya utafiti wangu kidogo nikagundua IT wengi wa serikalin hawafikirii wao wanajua tu ukishajua programing languages basi umeua.

Yaani hawafikirii kabisa. Sasa unawezaje kutengeneza mfumo wa kufeed taarifa bila option ya kuedit mkuu au ww unaongea tu.

Naungana na jamaa alosema ajira portal iko hovyo sana. Alafu kuna haja gani ya kucertisfy cheti wakati umescan orijinol. Mbona Tamisemi hawana huo upuuzi. Wakati huo huo ukiajiriwa cheti hicho hicho lazima kikahakikiwe na aliyekitoa km kweli ni orijino. Tukisema waliyojazana maofisini mle ni vilaza mnakataa.

Hebu na ww acha ubishi mkuu huo ndo ukweli kwani hujaoma kijana mdogo alivyomtoa jasho professor wa sheria na dogo ni degree holder. Ukiambiwa kitu usibishe wafanyakazi wengi wa serikali wenye nyadhifa kubwa kubwa wana midomo tu lakin ukija kwenye suala la kutoa mawazo au fikra za maana hakuna kitu hawapo vizuri kichwani. Binafsi niketumia mifumo mingi ya serikali mpk najiuliza hivi hawa IT waliyotengeneza huu mfumo hivi ni smart kweli au inakuwaje.

Baada ya kufanya utafiti wangu kidogo nikagundua IT wengi wa serikalin hawafikirii wao wanajua tu ukishajua programing languages basi umeua.

Yaani hawafikirii kabisa. Sasa unawezaje kutengeneza mfumo wa kufeed taarifa bila option ya kuedit mkuu au ww unaongea tu.

Naungana na jamaa alosema ajira portal iko hovyo sana. Alafu kuna haja gani ya kucertisfy cheti wakati umescan orijinol. Mbona Tamisemi hawana huo upuuzi. Wakati huo huo ukiajiriwa cheti hicho hicho lazima kikahakikiwe na aliyekitoa km kweli ni orijino. Tukisema waliyojazana maofisini mle ni vilaza mnakataa.
Unaposema ajira portal iko hovyo saana unatumiaa kigezo ganii?? Hakuna recruitment portal nzurii ambayo nilishawahii kuionaa kuizidii ajira portal menginee ni errors tuu ndogo msipendee kulalamikaa lalamika kila siku
 
Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati wa kutafuta ajira unaingia kwenye mfumo kwanza picha linaanza hakuna option ya kudelete academic qualifications, mfumo gani usiokuwa na hii option?
Acha UONGO km hujui uliza sio kusema UONGO Kuna option ya ku-edit hapo ndipo unapo-upload upya documents zako

Siku nyingine uliza kwanza

Screenshot_20230803-165608.png
 
Unaposema ajira portal iko hovyo saana unatumiaa kigezo ganii?? Hakuna recruitment portal nzurii ambayo nilishawahii kuionaa kuizidii ajira portal menginee ni errors tuu ndogo msipendee kulalamikaa lalamika kila siku
Bwana mdogo ana stress za Maisha mzoee tu angeuliza aelekezwe sio kushusha lawama alafu hata Mwongozo hasomi anakurupuka kushusha malawama tu
 
Attachments

  • Mwongozo Ajira Portal.pdf
    1.1 MB · Views: 30
Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi?

Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati wa kutafuta ajira unaingia kwenye mfumo kwanza picha linaanza hakuna option ya kudelete academic qualifications, mfumo gani usiokuwa na hii option?

Huu mfumo mliwapa vijana wa field wautengeneze au? mbaya zaidi mmeshalalamikiwa kwa muda mrefu lakini hakuna changes, kubadili tu inachukua muda gani? how comes mtu hawezi kufuta taarifa zake za elimu? na mmekaa tu huko ofisini na vitambi vyenu huku wasaka ajira wakihangaika?, Picha la pili, Ukiupdate taarifa za work experience (kwanza wameandika 'working experience' badala ya 'work experience' :D) hazibadiliki kwenye cv preview!,

Picha la tatu, Kama uliupdate vyeti ambavyo havikuwa certified then ukahitaji kuondoa na kuweka ambavyo vipo certified, Ukiedit then ukisave, hakuna mabadiliko! angalau vyeti vya O Level na A Level ukikomaa vinabadilika ila kwa University (cheti cha juu) inagoma.

Taarifa zote mnazona watu wamewasilisha na mmesikia lakini hakuna mabadiliko, Mnafanya kazi gani huko kama issues ndogo kama hizi zinawashinda? Kwa hiyo mmekaa chini mkaona huu ndiyo mfumo rasmi na centralized kwa maelfu ya wahitimu wanaotegemea kupata ajira serikalini? Hopeless!

Anyways, Kama kuna mtu anafahamu solutions kwa hizo issues msaada tafadhali, au nitupie zangu tu application yangu ya CONSERVATION RANGER III – ARTISAN (MOTOR VEHICAL MECHANICS) hivyohivyo Liwalo na liwe :D:D:D
Issue ni nzuri .

Ila haujawasilisha kisomi.

Chakuuliza je tatizo lako limetatuliwa tayari?

Kiukweli utumishi ni jipu tena linalohitakika kutatuliwa mapema Sana.

Wanashida katika muda wa kufanya interview.

Muda wa kutoa replacement.

Muda maaalum wa database

Mfumo wao wa jnterview .

Nikipaata muda nitaandika mambo yote na ukiritimba wao.
 
Ukiandika andika kisomi ukiwa umetulia na uwe na hoja zenye mashiko usikurupuke
 
Wataalamu naomba nisaidiwe, nimejaza taarifa zangu zote ajira portal ndio profile yangu imefikia 49% tu wakati mfumo unataka angalau mtumiaji afikie asilimia 70. Sasa wadau naombeni misaada kwa anayejua namna ya kujaza taarifa na kufikia angalau hiyo 70%
 
Basi haujajaza zote
 
weka picha
 
Back
Top Bottom