ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  2. chakutu

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa recruitment secretariat, ajira portal

    Wajuvi wa Mambo, Kwani secretarieti ya Ajira hawajui kuwa USTAWI WA JAMII kwa kimombo ni sawa na SOCIAL WORK ? Maana Mshikaji wangu ana sifa sawa na tangazo la ajira (AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II) lakini akiingia kwenye mfumo , Mfumo unamkatalia, nikajua anakosea nikamwambia ngoja niweke...
  3. G

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada, napata changamoto kubadilisha taarifa ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kubadilisha taarifa kwenya account ya ajira portal. Mfano, Nilijiandikisha programu category ya Bachelor of arts (BED) education yaani somo moja. Badala ya Bachelor of arts with education (BAED) yaani masomo mawili kimakosa. Nawezaje kubadilisha taarifa maana...
  4. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira portal una shida

    Network ziko down...tatzo nn?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu kufanyia bolt na uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  7. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal - 2 Research, Science & Biotech Vacancies Available

    Ajira Portal - 2 Research, Science & Biotech Vacancies Available New opportunities are now open for professionals in the fields of science and education through Tanzania’s vocational training institutions. The Livestock Training Agency (LITA) is hiring for the position of Tutor II –...
  8. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available.

    Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available. Several new academic and technical vacancies have been announced in Tanzania’s livestock and fisheries training institutions, presenting excellent opportunities for educators and technical specialists. Livestock Training Agency...
  9. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal – Engineering and Construction Vacancies

    New job vacancies have been announced in Tanzania's maritime and technical education sectors, offering exciting opportunities for qualified professionals. The Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO) is seeking candidates for two key engineering positions: Engineer II - Marine and Engineer II -...
  10. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal & Other Jobs Board Assessment.

    Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I have observed patterns and frequency of job vacancies kulingana na mikoa. He is what I found out ...
  11. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  12. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania New 20+ Job Vacancies From Ajira Portal May 2025

    Are you ready to make a meaningful impact in Tanzania’s education, fisheries, livestock, and municipal sectors? The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Handeni Town Council, Fisheries Education and Training Agency (FETA), Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO), and Livestock...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nmeweka cheti hicho, je kipo sahihi au naweza badilisha ( Ajira Portal)

    Wazoefu wa mfumo wa AJIRA portal naombeni msaada kweny hili jamani ili nojue lakufanya mapema
  14. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  15. M

    JamiiForums Tanzania FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  16. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuwa ikiwa ulifanya mtihani wa kurisit kidato cha nne na unahitaji kutumia cheti hicho katika mfumo wa ajira porta

    Wakuu naomba kujuwa ikiwa ulifanya mtihani wa kurisit kidato cha nne na unahitaji kutumia cheti hicho katika mfumo wa ajira porta, unatakiwa uweke mwaka ulioanza shule na uliomaliza na namba ya mtihani na uambatanishe na cheti, Je ukiweka mwaka uliomaliza shule na namba ya mtihani yakurisiti...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyiwa mitihani, atoa pendekezo haya Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ku fail kwa application ajira portal

    Habari za wakati huu… Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed, Ni social work haiusiani na community development...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Engineer II (plant) OSHA inasumbua kuomba ajira portal

    Habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba nafasi OSHA kipengele cha Engineer II (PLANT) ina vigezo, uwe una bachelor degree in mechanical engineering na pia uwe registered as graduate engineer na ERB sifa zote hizo ninazo ila bado inagoma leo ni siku ya tatu naomba niwasilishe wakuuu mnipe msaaada.
Back
Top Bottom