Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu.
Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan.
2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za usalama (kabla ya safari) Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru na hatuna bimbo vya uokozi sijui...
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.
Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.
Lakini kabla ya yote...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na Coaster, imesababisha vifo vya watu 7 na kujeruhi wengine 10.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mkuu wa...
ni kweli ajali huwa zinatokea kila mwezi kutokana na maagano ya kishetani,mila na kutambikia mizimu kila mwezi.
Hali inazidi kuwa mbaya mwezi wa mwisho wa kila mwaka, kwa sababu watu dizaini hiyo huwa wanakuwa wanaingia mikataba mipya na hayo maagano yao. kwa hiyo unaweza kuona mnatambika...
Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake.
Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui.
Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio.
Taarifa zaidi...
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini
Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba
Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu...
Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro.
Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa ya Shinyanga, saa 9 mchana.
Mmoja ya waathirika wa ajali hiyo, Diana Willibard amesema gari hilo...
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi.
Mwenye Taarifa Atufahamishe!
Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane
---
AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA.
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesisitiza kuwa kifo cha mfanyabiashara Daisle Ulomi aliyetoweka katika mazingira yenye utata Desemba 11, 2024 akiwa kazini kwake Sinza Kijiweni, kimesababishwa na ajali na si vinginevyo.
“Ukiniambia simu ilisoma wao ni watu...
AJALI YA GARI SONGWE YAUA WATATU, YAJERUHI 15
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limetoa taarifa kuhusu ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 13, 2024, majira ya saa 12:30 jioni. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Mitsubishi Fuso Basi lenye namba za usajili T.701 DEN, mali ya Kampuni ya...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam.
Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.