The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,742
- 3,729
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....