Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16.
Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
"Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi.
Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine.
Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku.
Inaniuma sana kusikia karibia kila...
Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako.
Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili...
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
#HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 15 Kujeruhiwa baada ya basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali ya kuacha njia na Kupinduka katika eneo la Maili kumi, barabara ya Segera-Korogwe mkoani Tanga.
Akithibitisha kutokea...
Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani.
Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo.
=======
Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS.
Hata...
ajali
chadema
iringa
jeshi
jeshi la polisi
kada
kada wa chadema
kusababisha
kutoka
mkoani
mtandaoni
polisi
rpc
siasa za chadema
siasa za tanzania
taarifa
vitus nkuna
wasiojulikana
watu wasiojulikana
Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA.
2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo...
Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi.
Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea.
BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD
Reports are coming in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.