ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa ajali Hayati Magufuli aliwahi kumtumbua Waziri

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku. Inaniuma sana kusikia karibia kila...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kitengo cha Road Marshals ili kupunguza ajali za barabarani

    Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nakutabiria week ijayo utapata hela ila kuwa makini sana

    kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili...
  8. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Imetokea mbeya asubuhi hii Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
  9. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha lapata ajali

    #HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 15 Kujeruhiwa baada ya basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali ya kuacha njia na Kupinduka katika eneo la Maili kumi, barabara ya Segera-Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ajali tena Ubungo

    Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️ Awakomi
  12. Brown B

    JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaepukika tukiacha siasa

    Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo. 1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA. 2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania 😂 Usinambie kuwa hao mbuzi nao wanaangalia Hyo ajali🙈🙈

    😂 Usinambie kuwa hao mbuzi nao wanaangalia Hyo ajali🙈🙈
  16. Exile

    JamiiForums Tanzania Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

    Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi. Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea. BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD Reports are coming in...
  17. feyzal

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

    Habari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa, mwili umepelekwa hospitali ya Amana. Atakayemtambua awajuze ndugu zake.
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hizi ajali mbili za malori zilinifurahisha sana nilitamani zijirudie

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

    Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...
  20. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
Back
Top Bottom