ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mtu wa ajabu sana

    Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe. Sio Tanzania, China au hata Japan
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

    Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake. Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani. Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆‍♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
  4. Pakome

    JamiiForums Tanzania Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  6. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Machawa wengi wanaamini katika Mungu lakini cha ajabu haohao wanasherekea mauaji

    Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mlango wa Siri na Chumba Kilichofichwa: Ugunduzi wa Viumbe wa Ajabu katika Makumbusho ya Obscurum

    Mlango wa siri, chumba kilichofichwa… Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo. Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
  8. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Chawa mtandaoni mnazidi kuleta mambo ya ajabu

    Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
  10. Nelly

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida na kama isipopatiwa tiba tutakuwa watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe...

    Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya... Mnakera na kutia aibu asee
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu tulivyo si ajabu pale Esther Luxury tukawa wafagizi

    Kwa jinsi tulivyo sitashangaa Mali yetu ila tukawa bado wafagizi Tu hapo Esther Luxury huku Wachaga wakila mema ya brother
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Suluhu za AI—ChatGPT PRO kwa Biashara

    ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki ili kuepuka vizuizi wakati wa msongamano. Ni chaguo linalolenga “power users” kama watafiti na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za baadhi ya Viongozi kuelekea uchaguzi wa ajabu ni mtaji wa ICC

    Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi. Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa. Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao? Mbona hawawajali...
  18. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV)

    Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV) Mara nyingi vinaanza vidogo, bila maumivu au kuwasha, lakini huendelea kukua taratibu bila onyo. Hivi si vinyama vya kawaida — ni genital warts, vinavyosababishwa na kirusi hatari kinachoitwa HPV (Human Papillomavirus). 🔬 HPV siyo kirusi cha...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Biashara za kisasa zenye uwezo wa Kukutajirisha kwa kasi ya ajabu

    Katika uhalisia wa karne hii ya 21, kutajirika si suala la “luck” au bahati nasibu, bali ni outcome ya akili ya kibiashara yenye foresight, uelewa wa market dynamics, pamoja na uwezo wa ku-position venture yako kwenye sekta yenye exponential growth trajectory. Mtu mwenye intellectual sharpness...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
Back
Top Bottom