Mechi ya kesho ni trick Sana, draw sio mbaya.Utashangaa yule mtetea wa anfield kesho anatukazia, ni nyakati nzuri sana hizi kuongeza gap la point
Kushinda ni bora zaidi kuongeza gap itakuwa gape la point 8, ni zuri sanaMechi ya kesho ni trick Sana, draw sio mbaya.
Kushinda ni muhimu ila ni trick mbaya maana mta mu undermine liver aka tubagaze.Kushinda ni bora zaidi kuongeza gap itakuwa gape la point 8, ni zuri sana
Shida yetu Arsenal hizi game muhimu zakuongeza gap ndo huwa tunaziharibuKushinda ni muhimu ila ni trick mbaya maana mta mu undermine liver aka tubagaze.
So Kikubwa caution tuka cheze kwa heshima tu.