ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Darucha

    JamiiForums Tanzania Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

    Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant 6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
  2. mathsjery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi leo hii kuna wanandoa wanashare simu (This is modern world modern)?

    Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana. SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya Ajabu sana. Tuna kiwango kikubwa sana cha ustaarabu

    Habari za wakati ndugu zangu wapendwa; Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake. Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
  4. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  5. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Simba siyo tu timu ya ajabu, bali pia ina wachezaji wa ajabu

    Beki wake mahiri kabisa wa katikati kwa wakati huo,na akiwa beki pekee tegemezi wa Taifa Stars Ndugu George Masatu akiwa na Timu ya Taifa alimdhibiti vilivyo mchezaji hatari Kabisa Afrika na Duniani akiwa na Timu yake ya Taifa huko kwao Liberia ndugu George Opong wear. Wakati huo George Wear...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

    Wanabodi, Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...
Back
Top Bottom