ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi Pembezoni mwa...
  2. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

    Leo nimeshangaaa hiii Dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatokoka Twangoma mimi niko Kigamboni kweli bana mchan niko geto akasema nishuke wapi nikamwambia darajani Basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 18:00...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kweli yule reporter kamuuliza Mpina kwanini ametoka CCM

    Sasa Mpina angefanya nini katika hali kama Ile? Pale Samia Suluhu ndio alionyesha udikteta wake. Bila sababu jina la Mpina limeondolewa,watu jimboni kwake imeonekana kama vile hawakupendezewa . It was unprovoked and uncalled for. Imeonyesha jinsi Samia alivyolewa madaraka. Sasa huyu mtu...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

    Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama. Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Chaumma chini ya Mwalimu itapata kura zaidi ya 100,000 nchi nzima itakuwa ni jambo la ajabu

    Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99. Upinzani nchi hii bado sana.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nguvu na uwezo wa Ajabu aliokua nao Adam baada tu kuumbwa

    NGUVU NA UWEZO WA AJABU WA ADAMU Adamu, akiwa kiumbe wa kwanza kabisa kuumbwa na Mungu, alipewa mamlaka makubwa na uwezo wa kipekee juu ya viumbe wote wa duniani. Tofauti na wanadamu wa leo, Adamu hakuwa na hofu wala upungufu wa nguvu. Biblia inasema: “Kisha Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa...
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  11. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Njoni muone mawe yanayomsifu Mungu. Ni ajabu na kweli!

    Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu siku ile ya mitende, watu walitandika mavazi yao chini na kuushangilia ujio wake kwa sauti kubwa, wakisema: “Hosana! Amebarikiwa mfalme ajaye kwa jina la Bwana!” (Luka 19:38). Lakini Mafarisayo walikasirika, wakamwambia Yesu awanyamazishe hao watu. Ndipo Yesu...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  15. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Uislamu wa madhehebu ya Shia unaenea Kwa Kasi ya ajabu Sana

    Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee. Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia. Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara. Tafiti za kweli na...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

    Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ajabu

    "Mlango wa Ajabu" Katika kijiji cha Mwembeni, kulikuwepo na nyumba moja ya zamani iliyokuwa imejengwa kwa mawe meusi, katikati ya shamba la miembe. Hakuna aliyekaribia nyumba hiyo, hata watoto wa shule walikuwa wakikimbia wakifika karibu na ua wake. Walikuwa wakisema, “Pale pana mlango wa...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni Ajabu na Kweli: Mauzo ya Biblia Yaongezeka Duniani

    Kama hujui, basi habari ya mjini ndio hii: mauzo ya Biblia yanaendelea kupanda kwa kiwango cha kushangaza duniani kote. Kwa mujibu wa ripoti ya Global Bible Society (2024), zaidi ya nakala milioni 38 za Biblia nzima zilisambazwa mwaka huo pekee. Mbali na nakala hizo za Biblia nzima, zaidi ya...
  19. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  20. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

    Wakuu wasalam Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake...
Back
Top Bottom