Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Kwema Wakuu!
Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri.
Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume.
Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu.
Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya kile watu watafikiria juu yako na mara nyingi una wasiwasi juu ya kuwa karibu na watu, basi utambuzi...
Niende moja kwa moja kwenye mada ya kichwa cha uzi. Kadri siku zinavyokwenda idadi ya wanaofanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne, ule wa kidato cha sita, wale wanao hitimu mavyuoni ambao mwisho wa siku wanakua waajiriwa au wanajiajiri, au wapo tu mtaani, ni kubwa na inayoendelea kukua.
Ila...
Aibu yake kubwa ni mbele ya Uhuru Kenyatta. Uhuru Kenyatta amembeba sana, serikali ya Kenyatta imembeba sana!! Ruto akapakwa matope hadharani na mkuu wa nchi kuwa hawezi na hana jipya maana alipewa nafasi ya kuwa makamu wa rais lakini hakufanya chochote!!. Ukizingatia kuwa Kenyatta yuko nyuma ya...
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo.
Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.
Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli.
1. Vifurushi vya mawasiliano /...
Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani,
Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa.
Ukweli ukiangalia...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake.
Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi.
Mpaka sasa...
Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana inapokuja suala la wao kwenda kucheza AFCON kati kati ya msimu Limegeuzwa na kufanywa kuwa ni jambo...
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho.
Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi kuvamiwa nyumbani kwao, watu shakula bakora sanaa pale jangwani
Sasa jana afisa mkubwa wa klabu...
Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii.
Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc.
Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM...
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
(sehemu 1)
Kwa mada hii nilikuwa na vichwa vingi vya kumwaga. Kwa mfano, ningeliweza kuiita “WAAFRIKA HATUKO SAWA NA WENGINE” au “WAAFRIKA WAMOJA, HATUVAI MBILI.” Vichwa vyote hivyo vingeliweza kuwa muhtasari sahihi wa maudhui ya mada hii.
Ninasema kwa jinsi tunavyofikiri, kuamua na kutenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.