Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu.
Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa...
Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani.
Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Hawatambui hadhi yao,
Hawatambui majukumu yao,
Hawajui chochote.
Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana.
sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha.
Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua.
Hii ni ngumu...
Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita.
Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!!
Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada,
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc.
Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana.
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti.
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kweli halafu...
Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja.
Je?
Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa.
Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it
Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.