afya

  1. Tahadhari:Corona imekuwa fursa kwa matapeli ,wanajifanya wametoka Wizara ya afya wanataka kupuliza dawa ya Corona na kuiba majumbani, kuweni makini

    Habari wana Jamvi, Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19. Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha . Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima. Lakini kwa wenzetu...
  2. Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya

    Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya
  3. Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea...
  4. Msaada Tafadhali juu ya afya ya uzazi

    Hellow wanabodi naomba kujuzwa madhara ya punyeto kwa mda mrefu zaidi ya miaka 8, Na nizipi njia za kusaidia kuacha hiyo tabia? Na vipi kuna naamna ya kurudisha nguvu za kiume znazopotea kwa ujinga huo? Nisaidieni madaktari
  5. Je, ni nani atafaa kuongoza wizara ya afya kwa siku za mbeleni?

    Wadau. Leo Nimeona nipate Maoni yenu kwa kuzingatia kichwa cha habari Hapo Juu. Kwa Siku za Mbeleni na kwa kutazama Uhalisia Wa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Nchini, Je unaona Nani Atafaa Kuongoza Wizara ya Afya Na kwa Sababu zipi? Kibinadamu Hakuna awezaye kudumu milele sehemu Moja...
  6. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  7. Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  8. Rwanda: Waziri wa Afya atimuliwa kazi kwasababu ya Corona

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amfuta kazi Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dkt Gashumba kwa madai kwamba Waziri huyo alimdanganya juu ya uwepo wa vifaa tiba kwa ajili ya kupima virusi vya Corona, Covid-19. Akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa viongozi kujitathimini, Rais Paul Kagame alisema...
  9. Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

    Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
  10. Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako

    ORODHA YA JUICE MBALIMBALI (Kwa hisani ya mtandao). 1. Juice ya ukwaju mix na unga wa custard 2. Juice ya carrot na ndimu hii taste inakua kama fanta orange 3. Juice ukwaju tango na zile pipi za kifua 4. Jiuce ya passion na maziwa fresh. 6. Chukua ukwaju loweka then chuja halaf kando chukua...
  11. K

    'Mashangingi' ya Viongozi wa Taifa: Hili ni jini la kunyonya pesa za Wananchi

    Shangingi (VX-V8) moja jipya kwa gharama ya sasa ni Tsh milioni 250 (bila kodi) hapa bado gharama za uendeshaji na matengenezo. Wakati gharama ya ujenzi wa kituo cha afya complete ni kati ya Tshs milioni 400 - 700. Au gharama ya mashine moja MRI mpya kwa bei ya mwaka 2019 ni milioni 600. Ila...
  12. Nadandia kwa mbele hoja ya Rais kuhusu bima ya afya kuwekeza kwenye viwanda vya madawa

    Mh. Raisi J.P. Magufuli nakusalimu na kukupongeza kwa wazo au ushauri wako kwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wa kuwekeza makusanyo yao ya michango ya wateja kwenye sekta ya afya hasa kwenye viwanda vya madawa n.k. Mimi nilikuwa na ombi moja ktk kuboresha wazo lako. Naomba NHIF itangaze...
  13. Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
  14. Wakenya wazidi kuvuka mpaka kufuata huduma bora za afya Tanzania

    Hii ndio maana halisi ya msemo usemao "If you can't fight them, join them". Majirani karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
  15. Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  16. Wizara ya Afya, very serious question concerning Chinese here in Dar es Salaam

    Nimepita sehemu nyingi sana za DSM ambazo kuna wachina , mikocheni, Masaki, nakadhalika. Hawa jamaa wanavaa Mask za kuzuia Corona. And they are very serious Ni Kama wapo Wuhan, sasa wanatuogopesha wananchi wa kawaida. Je, wizara ya Afyaimeshauri wananchi wote tuvae haya madude? If not Whats...
  17. Wabunge waitaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia maiti ndugu wanaposhindwa kulipa gharama za matibabu

    Wabunge wametaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia miili ya wanaofariki na ndugu zao kushindwa kulipa gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaofariki badala yake imetakiwa kusamehe. Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mussa Mbarouk wa Tanga wakati wakichangia...
  18. Waziri wa Afya ni lini dawa zetu za asili zitaanza kupatikana kwenye hospitali za Serikali?

    Hospitali za serikali zimejaa dawa za wazungu tu. Waziri wa Afya tunakuuliza ni lini dawa zetu za asili zitakuwa zikipatikana pia kwenye hospitali za Serikali? Tunataka mtu ukienda hospitali Daktari akuandikie nenda dirisha la dawa kachukue kichupa cha muarobaini nk. Watu tumechoka kutumia...
  19. J

    Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
  20. Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

    Pitia hii ni muhimu. USSR Sent using Jamii Forums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…