Unene wa kiwango hiki ni hatari kwa afya

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,875
Katika video hii iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi.

NB:itoshe kusema UNENE sio fahari.

Haa yaani bonge la kifurushi kudadeki, sijui inakuaje mpaka unafikia unene kiasi hiki
 
Mpaka unafikia hali hii kuna psychological issues. Maana umeamua kujikatia tamaa au kuishi bora uishi. Hapo ameshapoteza dignity akipata haja inabidi watu wamstiri.
 
Unene wa aina hiyo huwa inakuwa ni wa kurithi au kuna aina flani ya maradhi yanaomsababishia mtu kunenepa kwa kiwango hicho...
 
Hivi watu wanene tumewakosea nini?
Mbona hamsemi wembamba uliopitiliza ni hatari?
Kutwa mnatuweka kwenye matangazo ya vyakula.
 
Katika video hii iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi.

NB:itoshe kusema UNENE sio fahari.

View attachment 1850487
Hajapasuka bandama kweli!!!
 
Back
Top Bottom