afya

  1. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  2. JamiiForums Tanzania Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  4. JamiiForums Tanzania NHIF na Wizara ya Afya wanamdanganya Rais kuhusu Dawa zilizoondolewa kwenye Kitita kipya?

    Binafsi sielewi kwanini NHIFTZ na Waziri was Afya @ummymwalimu wameamua kuwa waongo na wazandiki katika hili suala la bima ya afya ya NHIF. Wanachama tumewakosea nini? Mnataka roho zetu? Swali langu lilihusu dawa namba 21 katika zilizoondolewa, beclomethasone with salbutamol inhaler ikiwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha vyama pinzani kususia uchaguzi hakina afya katika demokrasia. Suluhu ni mgombea binafsi?

    Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia, wastani wa Shilingi Bilioni 20 zimekuwa zikitolewa kila mwezi kwenda MSD

    1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo 9,610. Hii ni pamoja na Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Kinywa Duniani: Ni lini mara yako ya Mwisho kufanya Uchunguzi wa Kinywa?

    Kufanya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa: Umuhimu na Mara Ngapi Unapaswa Kufanya Leo, tunapoadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa Duniani, ni muhimu kutambua umuhimu wa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa mara kwa mara. Afya ya kinywa ni sehemu muhimu ya afya yetu kwa ujumla, na uchunguzi wa mara kwa...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya

    Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena nyingine zikiwa katikati ya Barabara. Mazingira ya utunzani taka mtaani kwetu ni ya ovyo sana, hili...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi na walezi nchini kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya Dini ikiwemo kuwasomesha Qur’an sambamba na...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  11. JamiiForums Tanzania Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

    Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani. Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yadaiwa kuhusika katika ufisadi wa bilioni 4.8

    Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini. Mashirika ya kimataifa yanadaiwa kutoa fedha kwa ajili ya kufanya kampeni kuhamasisha wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  14. JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  15. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Vitita vipya NHIF vinageuza huduma ya afya kuwa biashara, Serikali ifute vitita vipya

    ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi kinabibi afya na bwana afya hii ni kawaida?

    Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu. Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma ya Saikolojia ipatikane kwenye Bima ya NHIF, kuna watu wengi wana changamoto ya Afya ya Akili

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kadhaa kuhusu vifurushi vya Huduma za Bima ya NHIF, kuna mengi yanazungumzwa lakini leo nataka kushea moja ambalo limenikuta na inawezekana likawa na madhara makubwa katika jamii japokuwa Watu wengi hawalitazami kwa jicho hilo. Katika vifurushi ambavyo vinalipiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Great Thinkers. Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile. Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya Afya ya Uzazi watajwa kuwa sababu ya Wanawake kukumbana na changamoto

    Mkurugenzi wa Huduma za Afya kutoka Taasisi ya Marie Stopes Tanzania, Dr. Geofrey Sigalla amesema Wanawake wamekuwa waathirika wa uamuzi wanaofanyiwa kwenye suala la huduma za Afya ya Uzazi. Ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo Taasisi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…