Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,444
Reaction score
1,644
Habari Tanzania !.

Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.

Asante.
 
Akili za kuchambia
 
Wewe unataka jeshi bila shaka ,hii njia unayopitia hutoboi ,home boy .

Fanya kufuatilia matangazo ya ajira hizo na uombe ila siri ni afya na nidhamu yako ndani ya jamii ,sawa ndugu ?
Hatutaki baadae ujinga wa siasa uingie kwenye hii fani za afya aisee. Huko baadae wataanza kuleta maujinga kwenye mambo ya afya kuanzia watoto wenyewe ambao ni wataalamu na wanasiasa wasio jua lolote watalazimisha hizi kozi kuwa kama sanaa.
 
Bado hujatushawishi mkuu,

Ni kivipi Kulazimisha Wahudumu wa afya kua Askati kuta leta positive impact kwenye utekelezaji wa majukumu yao?

Na kuna changamoto gani kwa sasa ambazo unazani, Millitary course ita ziondoa?
Unawaza kuwa kupata mafunzo ya jeshi ni ajira !?.. Nani kasema kuwa askari jeshi ni ajira. Huo ni wito. Watu wa afya wanajitoa maisha yao kwaajili ya uhai kwa watu wengine. Wanapaswa wapate hadhi ya kuwa askari jeshi. Kivyovyote vile ikiwapendeza wapate mafunzo hawa watu kuboresha uzalendo.
 
Uzalendo?

Kuna Taasisi wanapata mafunzo ya kijeshi na uaskari lakini ni corrupt na Wazembe sana, Mifano angalia hata Jeshi la Polisi.

Ingekua Ukipata mafunzo ya Kijeshi Automatically unakua mzalendo basi Polisi wangeongoza kwa utendaji kazi.
 
Msiwape mishahara ndo mtajua kama ni wito au ajira.

Duniani kote, Jeshini ni Ajira, not otherwise.
 
Sioni faida yake, matumizi mabaya ya muda na Pesa ! Ile jkt baada ya form six inatosha
JKT ile ya 6 ni siasa tu. Hapa nazungumzia jicho la taifa. Leo hii nchi inaweka usawa wa ulazima jamii ishiriki afya kwa wote. Unazani pasipokuwa na mafunzo hayo maalumu kwa hawa watu kutachochea molari kwao. Ukumbuke jeshi ni mambo ya kutii amri. Tunapaswa kuwa kwenye anga hilo.
 
Uzalendo?

Kuna Taasisi wanapata mafunzo ya kijeshi na uaskari lakini ni corrupt na Wazembe sana, Mifano angalia hata Jeshi la Polisi.

Ingekua Ukipata mafunzo ya Kijeshi Automatically unakua mzalendo basi Polisi wangeongoza kwa utendaji kazi.
Kwani kuna shida ukimaliza Udakitari wako au Ukunga au Mtaalamu wa maabala tukakupa mafunzo ya jeshi miezi 6 au mwaka 1. Ukaendelea na maisha yako mbona safi lakini.
 
Back
Top Bottom