Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly.
Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei...
Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa.
Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi.
Tatizo...
Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini:
Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’.
Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
Siku hii huadhimishwa kila Mei 25 ikiwa ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (OAU) Mei 25, 1963 ambayo baadaye ilibadilishwa kuwa Umoja wa Afrika (AU)
Maadhimisho yanabeba Kaulimbiu "Kuimarisha Ustahimilivu katika Lishe na Usalama wa Chakula Barani Afrika". Umoja wa Afrika...
Elimu ndiyo silaha yenye nguvu zaidi ambayo unaweza kuitumia kubadilisha ulimwengu, wakati huo huo inasaidia watu kuwa raia bora, kupata kazi yenye malipo bora na kuonesha tofauti kati ya mema na mabaya.
Hizi ni Nchi 5 zenye mifumo bora zaidi ya elimu Afrika kwa mujibu wa NewsNowGh
1...
Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika.
Bw. Badawi amesema, mgogoro huo umesababisha ongezeko kubwa la gharama ya bidhaa za msingi barani humo...
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.
YAJAYO YANAFURAHISHA.
Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu.
Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao.
Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana.
Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa
Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki...
Fadhili Mpunji
Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.