afrika

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Urais wa Ruto kupingwa tena Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ)

    Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto. "Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda...
  2. JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth II na Afrika

    “UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU” 10/09/2022 Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa kwanza wa sarafu umegubikwa na masuala tata kama:- Ukoloni; Hakuna shaka yeyote kuwa lawama za...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waongea na wanaanga wa China walioko anga ya juu kwa njia ya mtandao

    Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu maswali yaliyoulizwa na vijana hao kama vile wanaweza kuona Jangwa la Sahara na Mlima Kilimanjaro...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina nia ya dhati kujenga Miundombinu barani Afrika ama ipo kwenye ushindani tu na China?

    Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, Donald Trump alikuwa sahihi kufananisha Afrika na tundu la choo?

    Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka Afrika. Hakika kwa mtazamo na hisia za kawaida kauli hii imesheheni udhalilishaji, dharau, ubaguzi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika unaweza kuendelea kuitegemea China kujipatia maendeleo na ustawi

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yamepata mafanikio makubwa. Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
  12. JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  13. JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais awasili Rwanda kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika

    Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini? Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala wa haki si sheria Afrika

    UTAMBULISHO Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo vya ukiukwaji wa haki na uhuru vinavyofanyika sehemu mbalimbali ndani ya bara la Afrika. Mwandishi...
  17. JamiiForums Tanzania KABILA LA AFRIKA MASHARIKI LENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI

    Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
  18. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuwa kitovu cha huduma za TEHAMA Afrika ya Mashariki

    HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma. Video:source...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto 25,000 wamepotea Afrika kwa Mwaka 2022

    Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) iliyotangaza katika ukumbusho wa Siku ya Kimataifa ya Waliopotea (Agosti 30). Hali ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Afrika: Kwanini Al Ahly wanacheza CAF CL?

    Afrika inachekesha sana kwa kigezo gani Al ahly wanashirik CAF CL hii ndio maana soka letu Afrika linashida kubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…