Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu".
Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
Madai
Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania.
Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali.
Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
BBC.
China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti.
Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.
Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
Ni Dk Ogwell.
Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika.
Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo.
Stay tuned.
Likiwa kama bara lenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea, Afrika inaweza kusemwa kuwa "chanzo cha msingi" wa diplomasia ya China. Ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na moja ya nchi za Kusini, China imefanya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kirafiki kati ya Kusini na Kusini na nchi za...
Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii.
Katika ziara yake ya...
Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
Si Tanzania pekee
Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini.
Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo;
1. Utunzi makini.
2. Upangiliaji wa nyimbo.
3. Upigaji bora wa solo gitaa.
4. Uibuaji wa vipaji vya muziki.
5. Nidhamu kwa wanamuziki.
6. Sebene la muda mrefu.
7. Kuchomekea majina...
Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli.
Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...
Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China.
Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika.
Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika.
Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.