afrika

  1. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

    Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini. Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu. Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madeni ya Afrika, kurudia uongo hakubadilishi ukweli

    Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani na nchi Magharibi wamechukua fursa hiyo kuipaka matope China kuhusu madeni yake kwa nchi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika inafuatilia Mikutano Miwili ya China?

    “Serikali mpya ya China itaongeza msukumo mpya katika uhusiano kati ya China na Afrika.” Makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Shirika la Utangazaji la Kenya KBC iliripoti kwamba mabalozi na wageni kutoka nchi za Afrika hapa Beijing walishuhudia kuanza rasmi kwa Mikutano Miwili ya China, yaani...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Stephen Byabato awahamasisha wadau wa nishati kushiriki mkutano na maonesho ya petroli ya Afrika Mashariki

    MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marais na wananchi wa Afrika Mashariki waungane kukataa ushoga

    Hali ilipofika sasa kuhusiana na juhudi za wazungu kutuletea ushoga kwa maraisi wetu wakutane na kutoa tamko la pamoja kuwa mambo ya ushoga hatuyataki na wote wanaojaribu kwa siri na kwa dhahiri kuuleta wakome mara moja. Tayari tumewasikia Rais Museveni wa Uganda na Ruto wa Kenya wakitoa kauli...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Macron atua Afrika licha ya maandamano ya kupinga ziara zake

    Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo. Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Kwa Afrika Mashariki, nchi ambayo haina mzigo wa mikopo kuliko nyingine zote ni Tanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema baadhi ya watu wanapiga kelele kuwa Tanzania inakopa na akasema katika nchi za Jumuiya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

    Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu. Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi za Afrika zasema hapana dhidi ya Marekani

    Tukiuliza kama kuna nchi yoyote ambayo inajaribu kutawala dunia, watu wengi watajibu ni Marekani. Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imedai "kurudi tena Afrika", lakini kwa lengo halisi la kudumisha nguvu zake za kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia. Juu ya hilo, nchi za Afrika zinajua vya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra viongozi wetu kuzindua miradi bila kusikia, 'kwa Afrika huu ni wa kwanza, pili au tatu?'

    Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika. Kwanini hivi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mahakama ya Afrika: Nchi wanachama ziheshimu Hukumu za Mahakama ya Afrika bila Visingizio

    20 February 2023 Arusha, Tanzania Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha. Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu zinazotolewa na mahakama hiyo ya Afrika bila visingizio kuwa hukumu hizo haziendani na sera za nchi zao husika...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu asiyekufa kwa Dawa zilizopo Afrika agundulika Kenya

    Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
Back
Top Bottom