Jioni hii BBC Dira wamesema Afrika ina asilimia 3 ya magari yote duniani.
Ikabidi nichimbe nikakutana na hii.
Kufikia mwisho wa robo ya kwanza ya 2022, kulikuwa na takriban magari bilioni 1.45 ulimwenguni, ambayo karibu bilioni 1.1 ni magari ya abiria.
Hiyo ina maana kwamba kuna gari kwa kila...
WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA.
George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.
Januari 9,2023.
Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto...
Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali.
Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
Sekta ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano ya habari (TEHAMA) inatajwa kuwa ni mapinduzi ya tano ya viwanda duniani.
Wadau wa maendeleo wamekuwa wakitaja sekta hii kuwa ndio msingi na mwelekeo wa siku zijazo duniani, lakini pia kama nchi yoyote itabaki nyuma kwenye sekta hii, uwezekano wa...
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.
Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
Mwezi Aprili mwaka huu, Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen alitangaza mkakati mpya wa mnyororo wa utoaji bidhaa uitwao friend-shoring, unaolenga kuunganisha baadhi ya nchi zilizoendelea ili kuzitoa nchi zenye maoni tofauti na maadili ya pamoja nao kwenye minyororo yao ya utoaji bidhaa...
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
RFA Kuna clip ya hotuba za maraisi wote wa Tanzania, waliotangulia na aliyepo lakini hotuba ya Mkapa hakuna. Je mnachukizwa na nini hadi kumchukia hivyo?
Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa.
Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa inayokabili nchi zote duniani, haswa nchi za Afrika. Ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujenga jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umetoa uungaji mkono wenye nguvu kwa Afrika kukabiliana na changamoto...
Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena katika bara la Afrika, madhumuni yake halisi ni kugeuza Afrika kuwa uwanja wa mashindano kati ya...
Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msukumo mpya kwenye ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na nchi za Afrika. Kupitia majukwaa mbalimbali ya biashara ya China, kama vile maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China yanavyofanyika mjini Shanghai (CIIE), maonyesho ya bidhaa za...
WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU
Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.
Viongozi...
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.
Wakaanza mchakato wa kusubmit...
Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji.
Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.
Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa.
Akihutubia katika...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa).
De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019.
Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.