afrika

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika inauzwa na vijana wakipata fursa: Balozi wa Zimbabwe anaswa katika genge la utoroshaji wa Dhahabu

    Ukiitazama hii video inauma na kufikirisha sana, inatia hasira.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  3. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Julius Malema: Tutamlinda Putin dhidi ya ICC atakapowasili Afrika Kusini

    Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake. Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
  5. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

    Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha 1. MAURITIUS 2. LIBYA 3. IVORY COAST 4. SOUTH AFRICA 5. GAMBIA 6. ALGERIA 7. LIBERIA 8...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mataifa yanayoongoza kuuza Silaha Afrika, ndio wanaochochea migogoro?

    Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simba yaingia katika rekodi ya timu zilizotoa vipigo vikubwa katika historia ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Machi 18, 2023. Timu inayoongoza katika rekodi hiyo ni TP Mazembe ambayo ilitoa kipigo cha...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marais wa Afrika waliofariki wakiwa bado Madarakani

    Ni kumbukizi ya miaka miwili tangu Kifo cha aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, maarufu kama JPM au Chuma. Aliyekuwa Makamu wa Rais wakati huo, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alitangaza kifo cha Hayati Maguli Machi...
  12. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
  17. voicer

    JamiiForums Tanzania Madaraka ni laana kubwa Afrika kuliko tunavyochukulia!

    Mifano iko mingi sana! Marehemu Sankara wa Burkina Faso alipinduliwa na kuuwawa na aliekiwa Rafikie wa karibu na msiri wake Bless Compaore. Marehemu Patrce Emely Lumumba alipinduliwa na mtu wake wa karibu Joseph Kasavubu kwa ushirikiano wa wabelgiji na Mobutu Sese Seko. Na mfano wa hivi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Kikwazo cha Ukuaji Demokrasia Afrika

    Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga. Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika: 1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
Back
Top Bottom