afrika

  1. Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  2. King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

    Afrika nzima tulisikitika viongozi wetu wote kupandishwa coaster wakati wa maombolezo ya Malkia Elizabeth. Jamani leo King Charles anasimikwa, je, mmewaona kwenye coaster?
  3. Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  4. Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  5. Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  6. Hivi hii Afrika imelaaniwa au watu wake ndiyo wamelaaniwa?

    JE KUDHIBITI UANZISHAJI HOLELA WA TAASISI ZA KIDINI NI SAWA AU NI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU? Tatizo la matumizi maovu ya imani na vitabu vyake hivi sasa lingekuwa gumzo duniani baada ya matukio yanayohusu "manabii" watatu nchini Kenya. Ulimwengu unajiuliza inawezekana vipi watu wafunge kwa nia...
  7. I

    Makampuni 100 yanayokuwa kiuchumi katika Afrika

    Orodha ya hivi majuzi ya kampuni zinazokua kwa kasi barani Afrika na Financial Times na Statista kwa 2023 inadhihirisha kuwa kampuni katika sekta mbalimbali ziliweza kuendeleza biashara zao hata kama dunia ilizimika kutokana na janga hilo. Kiwango hicho, sasa katika mwaka wake wa pili...
  8. B

    Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  9. Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

    Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini Afrika Kusini, akifungua kongamano la kujadili usalama na ulinzi, demokrasia na biashara barani...
  10. Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
  11. Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...
  12. M

    Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

    Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
  13. Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

    Maelezo yote yapo katika picha
  14. Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  15. Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

    Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
  16. Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  17. Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  18. Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

    Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14. Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi...
  19. Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  20. Ila kuna wazazi wana akili finyu, Vyuo vyote Afrika na unampeleka mtoto Sudan akasome?

    Jambo Jambo? Katika ujio wa hao Watanzania nchini Sudan, kuna wengine ni wanafunzi wa vyuo nchini sudan. Wapo wafanyabiashara, Wenye ndugu kule, diplomatic officials Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo sudan, Sasa mimi najiuliza kwa maana chokochoko za Vita hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…