afrika

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Umwamba wa nchi za Magharibi wazuia nchi za Afrika kushiriki kwa haki kwenye upunguzaji wa utoaji wa kaboni

    Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuinuka kwa uhusiano kati ya China Benin kwaonesha dhana ya ukweli, uhalisi, urafiki na udhati ya China kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Hii ndo picha yangu ya mwaka huu na kwa wajukuu na vitukuu, Rais wa Afrika wenda na dunia

    Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
  5. JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  7. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mfumo wa Posta ubadilike kuendana na Mahitaji ya sasa ya soko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Arusha, leo Septemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/MSIbItMgQvo?si=ogAiZuUyEEvUzqqK === Rais Samia amesema huu ni mradi wa ubia uliogharamiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  12. JamiiForums Tanzania Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli Gadafi alikuwa ni Mwanamajumui wa Afrika (PanAfricanist) au anakuzwa tu?

    Mbali ya kuandika kitabu chake cha "kitabu cha kijani" na kuelezea falsafa yake kuhusu uongozi, Nini kingine Muamar Gaddafi alifanya kuonesha kuwa na ndoto ya Afrika iwe moja? Jambo gani kubwa lenye ushahidi linaloweza kuonesha kuwa Gaddafi alikuwa ni Mwanamajumui (PanAfrcanist) wa Afrika??
  15. JamiiForums Tanzania Historia za mageuzi magumu Afrika

    Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu mbali mbali vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala toka chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na ukoloni wa ndani. Hivi vifuatavyo ndivyo vipindi maarufu zaidi vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala vilivyo tokea na vinavyo tokea Afrika mpaka sasa:- 1. Harakati...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China ni nguvu chanya kwa amani na usalama barani Afrika

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania AFRIKA NJAA INATUMALIZA?ULAFI UNATUDUMAZA!TUZINDUKE.

    Salaam kwenu Njaa hutafuna chango ila athari yake hudumaza fikra na ukomavu wa akili usipokuwa makini unaweza ukauza utu wako sababu ya 'sent 5' . Mamlaka za utendaji zimekaliwa na 'walala hoi' fikra zao ni umimi na familia yake na hatujui kabisa dunia ni duara tunapofanya maamuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika Tuamke -Remmy Ongala

    Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇 https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
  20. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…