afrika

  1. R

    JamiiForums Tanzania FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  2. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

    Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa miamba iliyoingia CL ni kadi mbili tu ambazo zimepata engagements kubwa sana Na hapa namanisha...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nchi tano duniani zinazoongoza kwenye research and development

    Hizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu. Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa kila kitu. Country/Region Expenditures on R&D (billions of US$, real) 1 United States...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

    Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo uchunguzwe kuazia Bank of Afrika (BOA) iliyoungua

    Uwezekano ni mkubwa moto huu uliungua kutoka Bank iliyoungua kama sehemu ya wizi ndani ya bank.
  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nabi 'chali' Klabu Bingwa Afrika

    Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia. FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...
  8. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe. Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania. NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 29, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=t1t5uPkjYIw Mkutano wa Uhuru wa Mtandao wa Afrika mwaka 2023 (Forum for Internet Freedom in Africa 2023 – FIFAfrica23) unaoashiria muongo mmoja wa mkusanyiko mkubwa zaidi kuhusu uhuru wa mtandao barani Afrika, unaendelea leo tarehe 29 Septemba ikiwa ni siku ya...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

    Yaani kama movie vile, ndege inajilipukia yenyewe na kuwafanya mishkaki... This is the dramatic moment a giant 'Russian made' transport plane careered off a runway in Africa and exploded into a fireball amid suspicions the jet was linked to the Wagner army. The Il-76 plane burst into flames...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Afrika tukumbuke wajibu hauombwi, haushukuriwi

    Unapoamka asubuhi huna kazi na ukaamua kwenda kupiga soga mbili tatu na ghafla njiani umekutana na mdada analalamika kuibiwa pochi yake(yes) mwanaume umejitutumua ukakamata mwizi na kupokonya pochi kwenda kuikabidhi kwa mmiliki halali hapa lazima upewe 'shukrani'. Tofauti na unavyoamka kwa...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika

    Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika. ================================= Over the last few years, Africa has experienced...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja tangu zamani

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China Jumanne ilitoa waraka wa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China”, ukisema miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja. Kama jumuiya...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba nyingi za viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa UN zimejaa malalamiko

    Viongozi wa nchi zote za dunia wanakutana Marekani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la usalama la umoja wa mataifa (General Assembly of United Nations). Hotuba nyingi za viongozi kutoka Afrika ni za malalamiko kuhusu nchi za Magharibi na Marekani kama chanzo Chao kikuu Cha matatizo kwenye nchi zao...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika katika mkutano wa kila mwaka wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa

    Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini. Amesema sababu ya hali hiyo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aapa rasmi kuwa Mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Yusuph Makamba amekula kiapo cha kuwa mjumbe rasmi wa maamuzi (ex-officio members) wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) katika hafla fupi iliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 19 Septemba 2023 akiwa katika ofisi ndogo...
Back
Top Bottom