afrika

  1. M

    Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
  2. L

    Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    “Ripoti ya Mwaka 2023 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa hivi karibuni. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China barani Afrika umeongezeka kwa mfululizo, na mafanikio ya ushirikiano wa uwekezaji kati ya pande hizo mbili yamezidi kudhihirika. Ripoti hiyo...
  3. T

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  4. B

    Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  5. S

    Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  6. Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  7. Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  8. L

    Pendekezo la“Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni chachu ya maendeleo ya nchi za Afrika

    Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotolewa na rais Xi Jinping wa China zinaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi...
  9. Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania ya 4 kwa usalama wa anga Afrika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023. “Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
  10. R

    Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
  11. Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

    AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi WYDAD AC(MACRON) Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
  12. Wanasimba, Derby ya Afrika ni kati ya Mamelodi Sundowns vs Al Ahly

    Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly. MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya Simba vs Al Ahly iwe African Derby, ahaa! Derby ambayo kabla ya mechi unakuwa ushajua nani anashinda na...
  13. S

    Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
  14. B

    Tundu Lissu atoa muhadhara chuo kikuu cha Darla Moore School of Business, University of South Carolina juu ya Uongozi Afrika

    25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina https://m.youtube.com/watch?v=IYfoTqmzPv0 Guest Speaker Hon. Tundu Antipas Lissu, a trained lawyer graduated from the University of Dar...
  15. Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

    Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi".. Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini...
  16. Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

    Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
  17. Gaddafi amesahaulika Umoja wa Afrika haraka mno!

    Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika. **Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
  18. M

    Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  19. L

    Je, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni Afrika unahusiana na China?

    Katika miaka ya hivi karibuni, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni aina ya anime umeendelea kuongezeka barani Afrika, na hata wadau husika wanasema Afrika inatarajiwa kuwa soko muhimu la kimataifa la katuni aina ya anime. Hata hivyo, miaka michache iliyopita, achilia mbali...
  20. Kwanini Viongozi ( Marais ) wengi wa Bara la Afrika wanaamini Ushirikina kwa 85% wawapo Uongozini?

    1. Kuna Mmoja akitaka Kuuliwa akivaa Kofia yake Maadui zake hawamuoni. Na huyo huyo pia kama Maadui zake wakimkaribia hugeuka Mbuzi na Kondoo wengi. 2. Kuna Mwingine akienda Kuhutubia Watu lazima auoge Mkojo wake. 3. Kuna Mwingine ili Safari yake ya mbali ili ifanikiwe au azime Jambo fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…