afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  3. G

    JamiiForums Tanzania KERO Nyegezi, Mwanza wananchi wanalia na mgo wa maji! Ndugu zangu Afrika ni laana

    Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  5. I

    JamiiForums Tanzania I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

    https://www.instagram.com/p/DSiPoY2EV_C/?img_index=3&igsh=czl4ZGx1ajM4cTQ3
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama “Russia-Africa Partnership Forum” unaoendelea jijini Cairo nchini Misri.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake. Ndiye anayeweza...
  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

    Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya maendeleo katika nchi za Afrika ni kupitia elimu na tafiti

    Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kosa vyote si akili: Ulaya ina rasilimali chache ila ina akili ya kutumia za Afrika hata kwetu mikoa iliyoendelea haina rasilimali nyingi bali akili

    Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili. wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapata ujuzi wa utambuzi wa mpangilio wa vinasaba kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na China

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

    Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, Angekuwepo shujaa Afrika hayati JPM Angela Kiziga na Januari Makamba wangekuwepo uraiani?

    Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla. Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa jasho. Huku maafande wakivaa Khaki zilizopauka. Ufisadi kama huu hayati JPM asingeuvumilia. Utakumbukwa...
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
Back
Top Bottom