afrika

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Desemba 9 ukombozi na muungano wa Afrika unaanzi Tanzania?

    Kichwa cha habari kiko wazi.
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA anashambuliwa sana mda huu, mashabiki wa timu za Afrika wamepigwa komeo kuingia Marekani

    Mwaka ujao kutakua na kombe la dunia na watu wengi mtandaoni wapo kwenye sintofaham ya kuingia marekan, mpaka sasa raisi hajatoa kauli yoyote lakini hali sio nzuri
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Cha msingi kwa sasa ni kuondoa kwa nguvu uongozi wa kisiasa kote ndani ya Afrika

    Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
  5. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Marais wanaopinduliwa Hususani Afrika hawauliwi bali wanawekwa kwanza Chini ya ulinzi maalum.. ushajiuliza kwanini?

    Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70. Unajua kwanini hawafanyiwi hivyo? Ukiachana na shinikizo za kimataifa, ni kwamba hawauliwi kwa sababu moja...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makundi ya Kidini Barani Afrika

  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

    ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA. Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi. Yeye anasema akasukuma...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dijitali inavyosukuma kwa kasi kete ya mabadiliko ya kisiasa Barani Afrika

    Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji. Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
  9. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
  16. sizzya007

    JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  18. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

    Dar ni automatic sauna Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu. Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  20. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania The United people of Afrika

    #Unitedpeopleofafrika.org Vision Empowering Africa Together as a United Continent. Mission To unite the people of Africa 🌍 Greetings to all good people of Africa 🌍 We are so grateful for what's Unveiling in Africa 🌍 especially in countries that were captured by Dictators I Godfrey Matovu...
Back
Top Bottom