Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.
Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
Kila Mwafrika, akidhamiria, anaweza kuwa milionea au bilionea. Mimi nakataa dhana kwamba Waafrika tumelaaniwa. Kama ni laana, kwanini mabilionea hawa wa Afrika hiyo laana haijawaathiri?
Hawa hapa baadhi tu ya mabilionea Waafrika na mali zao (net worth in billions of dollars):
1. Aliko Dangote...
Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione si chochote wala si lolote na hivi waAfrika miaka na miaka tuneshindwa kutengeneza vya kwetu kuanzia...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi.
Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.
Mauzo...
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa...
Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Sekta ya usafiri wa anga barani Afrika inaendelea kukua, ikichochewa na maendeleo ya kiuchumi, utalii na ongezeko la miunganisho ya kikanda. Viwanja vya ndege barani humo vinazidi kuwa kitovu cha shughuli nyingi. Kwa kuzingatia takwimu za tarehe 23 Julai 2025, makala hii inachunguza viwanja 10...
Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika ….
kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE
1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania
2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia,
3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia
4. Joyce Banda- Malawi
Happy Sunday Wana JF,
Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya.
Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm).
Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.