afrika

  1. JamiiForums Tanzania Kwa hili, Waafrika ni wazembe na wachanga kiakili

    Katika kipindi hiki ambacho Dunia ipo katika changamoto na janga la Corona Kuna mengi nimejifunza kutoka mataifa yaliyo endelea ambayo yanatakiwa yawe funzo na amasa kwa mataifa ya Kifrica haswa kwa vijana ambao ndio nguvu kazi katika kulijenga Taifa Serikali ya Marekani kwa sasa kwa asilimia...
  2. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

    umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
  3. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

    Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Kutafuta wenye CORONA ni sawa na kutafuta wenye mafua makali Afrika

    Waafrika kusini mwa jangwa la Sahara ni wahanga wakubwa wa umaskini (poverty), magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya hewa kama TB, flu kali kabisa. Magonjwa haya yamezoeleka sana ndani ya jamii hizi lakini hakuna watu wanaoyaundia task forces ili kujua nani ana flu na TB na nani amekufa ili...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

    Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni ya baadhi ya watu juu ya njia ya kupambana na #corona kwa nchi za Afrika

    Ameandika mmoja wa wasomi wa falsafa, Castor Mduda, aliyejikita kwenye maadili na siasa ameandika, #CoronaVirus ni Hatari sana lakini Kuvizuia kwa kuwatesa wananchi kwa kuchukua hatua ngumu na tatanishi kwa watu ni hatari pia Ni vyema Busara ikazingatiwa na Viongozi wa Afrika katika kuchukua...
  8. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Covid-19 Tanzania na kwingineko Afrika: Watafiti na wanasayansi wetu mko wapi na munasemaje?

    Ninaandika uchambuzi huu kwa dhumuni moja kubwa: Kutimiza jukumu la kitaalamu linalowahitaji wanatafiti/ wanasayansi/ wasomi kutoa elimu kwenye jamii na kushiriki kujadili mambo magumu na mepesi yanayoikabili kwa mtazamo wa kisayansi. Katika vita vya kijeshi dhidi ya aadui wa nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona: Umoja wa Afrika mnatuangusha

    Najiuliza kwa Sauti, ingekuwaje mamia ya vifo vya COVID - 19 vinavyotokea Italy, Ufaransa, China nk nk vingeikumba Afrika. ?? Umoja wa Ulaya wangekuwa kimya hadi sasa?? Si kweli hata kidogo wenzetu wana moyo wa Upendo na Ubinadamu na Akili ya Kidiplomasia hakika tungepata misaada ya kila namna...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona. Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika matajiri wana maisha mafupi sana!

    DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Nchi nzima yawekwa karantini sababu ya corona

    Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona ambavyo mpaka sasa vimeathiri watu zaidi ya 400 nchini humo. Ramaphose amesema wakati wa mpango huo ambao unatarajiwa kumalizika Aprili 16 hakuna mtu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yazuia watu kutoka nje kwa siku 21

    ni kuanzia usiku wa manane tarehe 26 Machi. ni taarifa rasmi ya Ikulu ya South Africa.
  14. JamiiForums Tanzania Kudumu kwa ujinga Afrika

    Habari wana jamvi, Kinachoendelea Afrika kwa sasa ndio kilichotokea Italy siku si nyingi zilizopita. Inachekesha ila inasikitisha sana kuona kila duka unaloingia wanakutaka unawe mikono lakini ukija kwenye daladala watu bado wanapunuliana balaa, nchi yetu bado inapokea wageni kutoka nchi zenye...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika yapokea msaada wa Testkits 1.1 Mil za Corona Kutoka Ali baba: Na sisi tuwahi hii fursa

    Ni vizuri Kushtuana wakuu. Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo. Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
  16. C

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
  18. JamiiForums Tanzania Urais Afrika

  19. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa barani Afrika yafikia 134

    Maambukizi ya Corona Virus barani Afrika yamefikia 134 baada ya maambukizi mapya manne kuripotiwa Afrika Kusini leo. Hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kutoka nchi za Misri, Morocco na Algeria. Misri ina idadi kubwa zaidi ya waathirika ikifuatiwa na Algeria ==== As coronavirus continues to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…