afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika: Miaka 21 tangu kuanzishwa kwake

    Na Caroline Nassoro Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika. Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yatajwa zaidi katika ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Anthony Blinken, amemaliza ziara yake katika nchi tatu za Afrika, baada ya kutembelea Kenya, Nigeria na Senegal. Ziara ya Bw. Blinken inafanyika wakati Marekani inajaribu kuonyesha kuwa inarudi kwenye ulingo wa siasa za kimataifa kuhusu Afrika baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake Barani Afrika watakiwa kuchangamkia Fursa za Uongozi

    Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
  5. JamiiForums Tanzania Inaaminika kuwa huu ndio upasuaji mgumu kuwahi kutokea Barani Afrika

    Halafu jamaa/mgonjwa anawacheka tu. Anajua hata wafanyeje hawamtoi
  6. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

    Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine. Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea Jambo moja la Afrika ni kama...
  7. JamiiForums Tanzania Utaalamu wa kufua vyuma ulianzia Afrika

    Did you know? Towns called Amuzu in Igbo land arose from ancient settlements of blacksmiths Awka clan is prominently known for their smithing prowess but they were not the only clan that excelled in smithing... The Agbaja clan before them excelled in smithing, it is even believed the skills...
  8. JamiiForums Tanzania Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

    1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa). Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara za kuinganisha Afrika zilivyopangwa

  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji bora wa huduma za kifedha utahimiza ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Na Kelly Ogome China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha. Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Beidou kutanua mbawa zake hadi Afrika na kulipaisha bara hilo juu zaidi kiteknolojia

    NA PILI MWINYI Kwa miongo kadhaa sasa ushirikiano kati ya China na Afrika umeshuhudiwa ukileta mabadiliko makubwa kwenye miundombinu, elimu, huduma za afya na hata teknolojia ya kisasa. Ushirikiano huu umekwea juu na hata sasa kufika kwenye matumizi ya Mfumo wa Satelaiti ya Uongozaji ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya CIIE ya China yatoa jukwaa la mtandaoni kwa Afrika kutangaza bidhaa zake na kujikuza kibiashara

    NA PILI MWINYI Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE, yanayofanyika mjini Shanghai yamepata mafanikio makubwa na kutoa jukwaa muhimu sio tu kwa China kuendelea kufungua milango yake na kukuza ushirikiano wake wa kimataifa na biashara huria, bali pia kwa wafanyabiashara...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yafuata ahadi ya kuongeza uagizaji wa bidhaa kutoka Afrika

    China na nchi za Afrika zimekubaliana kuitisha mkutano wa ngazi ya mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC tarehe 29 hadi 30 mwezi huu mjini Dakar, Senegal. Pande hizo zinafikiria kufikia makubaliano ya kuhimiza zaidi maendeleo ya biashara yaliyo na uwiano na uendelevu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Afrika wafaidika na upendo wa wachina kwa tofu

    Na Tom Wanjala Tofu inayotengenezwa kutokana na maharagwe ya soya inapendwa sana na wachina, ni chakula kinachopatikana kwa rahisi na chenye faida nyingi za kiafya mwilini, na upendo huo wa wachina unaifanya China kuingiza kwa wingi maharagwe ya soya kutoka mataifa ya duniani. Jua la utosini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni barani Afrika yatumie CIIE kufungua soko la China kwa ajili ya bidhaa zao

    Na Caroline Nassoro Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi. Maonyesho haya yamevutia washiriki...
  20. L

    JamiiForums Tanzania CIIE: Fursa nyingine kwa nchi za Afrika kutangaza na kuuza bidhaa zao katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China. Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…