afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa kijamii na maendeleo ya uchumi ndio suluhu ya kudumu dhidi ya mapinduzi ya kijeshi Afrika

    Katika mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu mjini Addis Ababa, Ethiopia, suala la utulivu wa kisasa limekuwa ajenda ya kujadiliwa, na baadhi ya viongozi wameonyesha wazi kukasirishwa na linaloonekana kuwa wimbi jipya la mapinduzi. Katika kipindi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

    Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo; AWAMU YA 6 KAZINI Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3) Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  4. L

    JamiiForums Tanzania “Upatikanaji wa matangazo ya TV katika vijiji elfu 10” wawezesha watu wa Afrika kutazama mechi nyumbani

    Tarehe 6 Februari ni siku muhimu kwa shabiki mkubwa wa soka Jackson Ndongo. Yeye na wanakijiji wenzake walitazama fainali ya Kombe la Afrika 2022 iliyofanyika Yaounde, mji mkuu wa Cameroon mbele ya televisheni kijijini, wakinywa mvinyo wa mawese. Katika mwezi uliopita, kutazama mechi ulikuwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinaungana mikono kuonesha moyo wa mshikamano na kujiendeleza

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni aliutumia barua mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika, akipongeza moyo wa mshikamano na kujiendeleza ulioonyeshwa na nchi za Afrika chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika, pamoja na juhudi zao zisizo na ukomo za kujitafutia njia za maendeleo zinazolingana...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barabara zilizopewa majina ya miji ya Kenya kule Afrika Kusini

    Kenya and South Africa have, for the longest time enjoyed a cordial relationship, from the time before the latter attained independence to date. As such, South Africa has become the destination of choice for many Kenyans looking for greener pastures. From those searching for further education...
  7. JamiiForums Tanzania AU walaani wimbi la mapinduzi katika nchi za Afrika

    Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo. Hayo yamesemwa leo na mkuu wa baraza la amani na usalama wa umoja huo Bankole Adeoye wakati kikao cha kila mwaka cha...
  8. JamiiForums Tanzania Senegal wafalme wa Afrika, watwaa AFCON mbele ya Misri

    #TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde, Cameroon. Timu hizo zilimaliza dakika 120 za mchezo huo kwa suluhu ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Wajackoyah: Nitakuwa Rais wa kwanza barani Afrika kuhalalisha Bangi

    Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
  10. JamiiForums Tanzania Ufaransa na Makoloni yake Afrika ndio Uhalisia Wetu/Afrika kuendelea ni ndoto

    Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yajumuika na China katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi

    Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

    Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
  14. JamiiForums Tanzania Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

    Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
  16. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na Rayvanny wanazidi kuchanja mbuga Afrika! Hakika hawa ni Tanzanian heavyweights

    Hii ni list ya views za wasanii wa ukanda wa chini ya jangwa la sahara kwa mwaka 2021. Kwa Tanzania ni diamond na rayvanny ndo walioingia top ten
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya 🇰🇪 na Uganda 🇺🇬 zaongoza kwa uchawi Afrika Mashariki

    This article doesn’t mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African. According to research,there are 55 countries in Africa but not all could be found with witchcraft. We must know that the Witchcraft in Africa countries is different from that in other...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
  20. JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022 Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…