afrika

  1. Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  2. B

    Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  3. Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

    Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika. Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
  4. Tuwe wawazi; hivi kimuziki tunaweza kuwafikia watu wa Afrika Magharibi kweli?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, twice is a coincidence and thrice is a pattern Ule ukanda wa Afrika Magharibi wana kitu cha ziada ambacho nadhani hakionekani lakini kipo tu. Ukifuatilia historia utatambua kwamba watu wenye asili ya ukanda ule ndiyo wanaotawala sehemu kubwa ya tasnia...
  5. O

    Maajabu ya nchi za Afrika

    Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China. Yaani bora Mchina kuliko jirani yako? Roho za kiafrika za kutotaka jirani afanikiwe zinatumaliza yaani tuko tayari kujenga uchumi...
  6. L

    Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  7. Startimes nyenzo muhimu katika kuendeleza na kuimarisha ushawishi wa taifa la China barani Afrika

    Tunaotumia kingamuzi cha startimes sasa tunajifunza lugha ya Kichina kupitia channel ya starswahili hongera kwa Wachina kutumia kampuni yao ya startimes kama jukwaa la kutangaza tamaduni zao pamoja na mafanikio yao. Mataifa shindani kama USA yameendelea kushangazwa na kuongeza kwa ushawishi wa...
  8. L

    Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika: Miaka 21 tangu kuanzishwa kwake

    Na Caroline Nassoro Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika. Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
  9. L

    China yatajwa zaidi katika ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Anthony Blinken, amemaliza ziara yake katika nchi tatu za Afrika, baada ya kutembelea Kenya, Nigeria na Senegal. Ziara ya Bw. Blinken inafanyika wakati Marekani inajaribu kuonyesha kuwa inarudi kwenye ulingo wa siasa za kimataifa kuhusu Afrika baada ya...
  10. Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  11. Wanawake Barani Afrika watakiwa kuchangamkia Fursa za Uongozi

    Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
  12. M

    Inaaminika kuwa huu ndio upasuaji mgumu kuwahi kutokea Barani Afrika

    Halafu jamaa/mgonjwa anawacheka tu. Anajua hata wafanyeje hawamtoi
  13. Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

    Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine. Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea Jambo moja la Afrika ni kama...
  14. Utaalamu wa kufua vyuma ulianzia Afrika

    Did you know? Towns called Amuzu in Igbo land arose from ancient settlements of blacksmiths Awka clan is prominently known for their smithing prowess but they were not the only clan that excelled in smithing... The Agbaja clan before them excelled in smithing, it is even believed the skills...
  15. Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

    1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa). Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga...
  16. L

    Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
  17. Barabara za kuinganisha Afrika zilivyopangwa

  18. L

    Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  19. L

    Utoaji bora wa huduma za kifedha utahimiza ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Na Kelly Ogome China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha. Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
  20. L

    Mfumo wa Beidou kutanua mbawa zake hadi Afrika na kulipaisha bara hilo juu zaidi kiteknolojia

    NA PILI MWINYI Kwa miongo kadhaa sasa ushirikiano kati ya China na Afrika umeshuhudiwa ukileta mabadiliko makubwa kwenye miundombinu, elimu, huduma za afya na hata teknolojia ya kisasa. Ushirikiano huu umekwea juu na hata sasa kufika kwenye matumizi ya Mfumo wa Satelaiti ya Uongozaji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…