afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchini ya Afrika ya Kusini imeridhia kuipa familia...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Yote yaliyofanywa na Serikali ya Makabulu dhidi ya ANC Afrika Kusini, Yafanywa na Serikali ya CCM dhidi ya Chadema

    Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini. Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa miaka 13 alierudishwa Tanzania kutoka South Africa, nina maswali kadhaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, haswa inayohusu habari za nje ya Tanzania. Kuna tukio fulani limetokea hapa Kaburu ambalo linamhusu dogo fulan kwa jina anaitwa Joel au Juma mwenye umri wa miaka 13, ambae imeonekana kuwa kiasili mzazi wake mmoja (baba)...
  4. Daby

    JamiiForums Tanzania Trump amemuuliza Rais wa Afrika Kusini kwanini hawamkamati Julius Malema? Kweli?

    Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani. Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika kusini aumbuliwa na Trump kuhusu kesi ya mauaji ya kimbari Gaza

    Afrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe!! Rais Trump aliweka mtego kumuumbua rais wa Afrika Kusini, ambaye alikutana naye jioni ya leo katika...
  6. Canto

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotazaa Mkutano wa Rais wa Marekani, Donald Trum na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa

    Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo: 1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa Kusini haijawahi kuwa na Rais wa kueleweka tena baada ya Nelson Mandela

    Nimeangalia mkutano wa waandishi wa habari kati ya Rais wa Africa Kusini, Cyril Ramaphosa na mwenyeji wake Rais wa Marekani, Trump katika Ikulu ya Marekani nimeishia kumuhurumia na kuisikitikia Africa Kusini. Ni kama bwana Cyril hakujiandaa au hakuandaliwa kabisa na watu wake kumkabili...
  8. Daby

    JamiiForums Tanzania Kundi la kwanza la makaburu wa Afrika Kusini limeanza safari ya kuelekea Marekani kama walivyoahidiwa na Donald Trump

    Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani. Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi

    Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  10. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Endapo jumuiya ya SADC isingekuwa na ubovu na uzembe katika utendaji, mzozo wa kibiashara kati ya Malawi, Afrika kusini na Tanzania usingekuwepo

    Habari wakuu, Huu mzozo wa kibiashara kati ya Malawi,Afrika ya Kusini na Tanzania sidhani kama ungekuwepo kama Jumuiya ya SADC ingekuwa inafanya kazi zake sawasawa kwa mantiki ya kusimamia utekelezaji wa maazimio yake. Nasema hivi kwa sababu nchi zote hizi tatu katika mgogoro ni wanachama wa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini

    Tamko la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Biashara ya Mazao ya Kilimo na nchi za Malawi na Afrika Kusini. Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia === Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza uamuzi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Simba itaingia fainali ikiwa huko Afrika kusini

    Wala Sina mashaka na haya niliyoyaandika. Simba inaenda kufunzu kuingia fainali mbele ya Stellenbosch Tena akiwa kwao. Ndugu zangu Tuache kukalili kua kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ukweli ni kwamba katika soka matokeo ni popote pale. Hivyo mechi ya marudiano Simba anaenda kumtoa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Simba ikitinga Nusu Fainali na Kuivaa Stellenbosch ya Afrika Kusini

    1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini haiondoi ukweli kuwa kipa huyu ni bora mno na Aishi Manula atafute changamoto timu nyingine. 2. Shomari...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wazulu nje ya Afrika kusini

    Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
  20. Umkonto umsizwe

    JamiiForums Tanzania Magari kutoka afrika kusini

    Habari za wakati huu members wa jf Nina swali kidogo Je ni kwanini magari mengi kutoka afrika kusini ambayo nimeyaona au kuja hapa tanzania ni magari kutoka jimba la Gauteng police (GP) na siyo majimbo mengine Na ikiwa kila jimbo lina plate number yake? Ikiwa umewahi kuyaona weka evidence
Back
Top Bottom