africa

  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kushusha daraja timu zilizofirisika haupo Africa ?

    Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi . Kwanini Yanga Pamoja na ukweli kwamba imefirisika hadi kushindwa kulipa mshahara wa wachezaji wake , huku wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa

    It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start. LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr LIK3by Rico Mwash, on Flickr
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni dira ya maendeleo barani Afrika

    YASHUHUDIE MAAJABU YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAYOJENGA VIPYA PAMOJA NA KUFUFUA VILIVYOKUFA: Uongozi wa nchi ni sawa na fumbo la imani. Hakuna awezaye kujua kesho atakuwa nani isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee ndiye mwenye ufunguo kwa kila mja wake. Unaweza ukawa na wazo, nia pamoja na malengo...
  5. JamiiForums Tanzania Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

    Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la South Africa (SAA) liko hoi lakaribia kuwa mufilisi - Tanzania tuna jambo la kujifunza?

    Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi. Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Letter from Africa: Is Kenya building bridges to nowhere?

    Violence broke out when the results of the October 2017 election were announced In our series of letters from African writers, journalist Waihiga Mwaura asks whether Kenya's divides can ever be bridged. Twenty-one months ago, Kenya's opposition leader Raila Odinga and his bitter rival...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

    Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora. Kwenye...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Ranks 12th in Sub-Saharan Africa in 2019 Prosperity Index

    by Mwakaneno Gakweli November 26, 2019 Kenya has ranked 12th in Sub-saharan Africa and 113th in the world in the recent Legatum 2019 Prosperity index. The country’s 2019 performance dropped from 2018’s 112th position. Nevertheless, Kenya showed improvement in market access and...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CNN: Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

    Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri Wasanii wengine ni 1. Burna Boy: Nigeria 2. Angelique Kidjo: Benin 3. Diamond Platnumz: Tanzania 4. Yemi Alade: Nigeria 5. Tiwa Savage: Nigeria 6. Wizkid: Nigeria 7. Mr.Eazi: Nigeria 8. Sho...
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  15. JamiiForums Tanzania List yangu ya Stand-Up Comedians ninaowakubali zaidi

    Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani. Hawa ndio 5 bora kwangu 1: Trevor Noah- South Africa/USA 2: Patrick salavdo - Uganda 3: Sleepy David - Kenya 4: Profesor Hammo - Kenya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Updated 2024 GDP Projections. Major Economies in the Eastern Africa

    1: Kenya $159 Billion 2: Ethiopia $146 Billion 3: Tanzania $92 Billion 4: Uganda $50.93 Billion 5: Rwanda $15.81 Billion Kenya and Ethiopia will continue to expand and compete for supremacy in the region. Kenya appears to hold its own in-spite of the population advantage that Ethiopia holds...
  17. JamiiForums Tanzania Jack Ma Sees Virgin Land in Africa for E-Commerce Entrepreneurs

    First deals under continental free-trade pact planned for July Ma wants Africa entrepreneurs to be celebrated as ‘heroes’ Jack Ma, the co-founder of Alibaba Group Holding Ltd., said African entrepreneurs will find countless opportunities in e-commerce, logistics and e-payments as the continent...
  18. B

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Former AU Ambassador To The U.S. On Her Dismissal, France's Ongoing Influence In Africa

    November 4, 2019 Source: Roland R. Martin More info: AFRICAN UNION (AU ) FACES A BACKLASH AFTER TERMINATING AMBASSADOR'S APPOINTMENT By Bukola Adebayo of CNN The African Union is facing a backlash after terminating the appointment of Arikana Chihombori-Quao, its ambassador to the United...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Africa bado safari ni Ndefu: Safari kutoka Addis hadi Nairobi

    Ieleweke lakinni kwamba upande wa Ethiopia, bara bara bado inajengwa. Tumepiga hatua kama Africa lakini bado tuna changamoto kibao sana!
  20. JamiiForums Tanzania Mkutano nchi za Afrika na NORDIC: Rais Magufuli awakaribisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa sababu kuna amani na ukuaji mzuri wa uchumi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam. ===== HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…